jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Yaan Mi mwenyewe mkimbizi cjui labda tuwaulize watanzaniahuu msemo wa sipendi ujinga mimi..
umetokea wapi...? jamani[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan Mi mwenyewe mkimbizi cjui labda tuwaulize watanzaniahuu msemo wa sipendi ujinga mimi..
umetokea wapi...? jamani[emoji23]
mchezo mchezo nalo nalisikia sikiaLakini kumbukeni pia soudy brown si mtu wa mchezo mchezo [emoji848]
acha ujinga wako kuuleta humu ....kwanza mimi sipendagi ujinga kama huumi ndio nlianzishaga huu msemo
chanzo chake ni mpoki kaanzisha, msanii wa comedyhuu msemo wa sipendi ujinga mimi..
umetokea wapi...? jamani[emoji23]
[emoji23][emoji23]jamaniKuna jini sijui ndo maimuna huwa anatabia ya kunivizia nmelala anakuja kusex na mm ndotoni
sasa nmemkomesha nmemtia mimba afu sijalala nna wiki mbili sasa nakesha tu najua anantafta
mwambieni akaitoe tu mi silali ng'ooo
mi sio mtu wa mchezomchezo...
sipendagi ujinga
kumbeeechanzo chake ni mpoki kaanzisha, msanii wa comedy