Natakakusoma hesabu chuo kikuu bila kupitia form iv

kijimsela@
Mkuu O'level umesoma Additional Maths? Pamoja na hayo kama unadhamira ya kusoma hesabu chuo kikuu ni better usome tu hiyo Advanced Maths ya A'level. Maana nafikiri itakusaidia sana huko mbeleni kwenye field yako.Pia utakapo soma Adv.maths itakuongezea uwezo wako wa kusolve maths...

Alafu nafikiri Dipl. kuna Distiction na Degree ndio kuna First class!
 
utadisco hadi kuishi Dar, ulisoma Add maths o- llevel?
 
Mkuu Hesabu ina kitu kinaitwa formular itakayokisaidia kupata jibu la swali lolote la hesabu.
Exception ni kwa mambo machache ndo hayana formular zinahitaji logic tu.

Huwezi kushindwa kitu ukijua formular yake.

Kasome wasikutishe..Hesabu ni kitu rahisi sana..walishaandaa namna ya kufikia jibu so wewe ni kufuata tu.
 
hutakubaliwa,mie nikitaka kusoma.options za.kemia walikataa kabisa, sikusoma kemia a level.

Labda vyuo vya kamkanyageni.

Ahsante sana kaka kwa ushauri wako,umenifariji sana ingawa nimekatishwa tamaa na ushauri niliopewa na baadhi ya wajumbe, sasa nafikilia kuchukua barchelor of education in comerce. nako hapo sijui mnanishaurije.
 
Kama hujui uhusiano wa coet na math unabisha nn? Teena hata hiyo ya BAED bado hujui wanapga nn! mtu hajui kujumlisha eti una ng'ang'ania asome zidisha wap na wap? tuache tunaojua uhusiano tumueleweshe ajue c sawa anachotaka kufanya
 
Haya mkuu umeshinda.
 
Inawezekana uko sahihi mkuu..mimi nilisoma PCM then chuo nikasoma Engineering, Ninavyosema hazina tofauti sana namaanisha ni kama muendelezo, ukiwa na msingi mzuri wa A-level chuo unaelewa zaidi kutokana na njia za ufundishaji. Hiyo integration ya complex number ipo hata A-level mkuu. Kama ulisoma Numerical analysis nadhani hutakuwa surprised na hizo terms.
All in all wote tuko same track kwani hata mimi nilisema form six ni muhimu labda hukuelewa nlichoandika hapo mwanzo. Aksante
 
Ungesoma Pure mathematics hata kitaani ili ikusaidie sababu msingi wa Basic maths ya O'level hautoshi kabisa na unaweza usisaidie, maana hesabu ya huku chuo ni pure maths na muendelezo wake...
 
Hapana mkuu ckusoma add.mth o-level, bado nachambua maoni na kuuyapima naweza kubadili mawazo au nikatumia hiyo njia ndefua.

Nacte mbona ndo waliotoa huo utaratibu kwa waliomaliza NTA-LEVAL 6 unaandikiwa kama ni 1st au 2nd... Kwani mimi mbona imeandikwa hiyo 1st katika cheti changu.
 
Ungesoma Pure mathematics hata kitaani ili ikusaidie sababu msingi wa Basic maths ya O'level hautoshi kabisa na unaweza usisaidie, maana hesabu ya huku chuo ni pure maths na muendelezo wake...

Ndiyo maana nikaomba ushauri humu ckuyajua haho yote mkuu,ntayafanyia kazi ahsante sana.
 
Kama hujui uhusiano wa coet na math unabisha nn? Teena hata hiyo ya BAED bado hujui wanapga nn! mtu hajui kujumlisha eti una ng'ang'ania asome zidisha wap na wap? tuache tunaojua uhusiano tumueleweshe ajue c sawa anachotaka kufanya

Nashukuru mkuu kbmk, kwani asingebisha mawazo yako nisingeyaona kwangu,hivyo wote mnaumuhimu kwangu. Sasa hebu nisaidie kunitajia kama ntashindwa maths ni masomo gani ya ualimu yatanifaa yenye hesabu kidogo?
 
Ahsante mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…