Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

sali sana kwa mumeo si unaona hali ni tete??
 
Mkuu pia nna bawasiri ya mda mrefu takribani miaka8 Sasa..Sasa sjajua kama nayo inachangia mishipa iwe miembamba
 
Ukiishia round 1 unakuwa hujaridhika unahitaji zaidi mkuu?

Tuanze na self satisfaction unajiskiaje? Haya mahangaiko ni kwa ajili yako binafsi

Au kwa ajili ya mwenzio ambae yeye haridhiki na round 1, tuanzie hapo kwanza.
Yaan manz umpige round moja aisee[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…