Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Hivi vipimo vya Cholesterol na vingine umefanyia hospitali/maabara gani kwa hapa mkuu ambapo wanaweza kufanya comprehensive bloodwork?

Natanguliza shukrani zangu 🙏🏿
 
Pole mkuu
 
ukiishia round 1 unakua hujaridhika unahitaji zaidi mkuu?

tuanze na self satisfaction unajiskiaje? haya mahangaiko n kwa ajili yako binafsi

au kwa ajili ya mwenzio ambae yeye haridhiki na round 1,tuanzie hapo kwanza.
Mwenzi wangu haridhiki na round moja.. Tena Bora ingekuwa niroud anagalau Ni ya dk10+ ila ni round ya chini ya dakika 5
 
Hivi vipimo vya Cholesterol na vingine umefanyia hospitali/maabara gani kwa hapa mkuu ambapo wanaweza kufanya comprehensive bloodwork?

Natanguliza shukrani zangu [emoji1545]
Nimefanyia vipimo vyote hospital..na daktar nilieonana nae urology specialist
 
Pole sana mkuu, Mungu atakusaidia kuondokana na hilo tatizo, kabla ya kutumia matibabu hayo angalia na madhara yake kimwili, usije ukaongeza tatizo juu ya tatizo.
 
Hawa madoctors uangalie unaweza katwa mishipa na biashara ikaishia hapo.

Pole

Kama ommy dimpoz walimweleza ugonjwa mwingine na akaenda kutibiwa ugonjwa mwingine kwa wataalamu au wale vijana mgonjwa wa operation ya kichwa akafanyiwa operation ya mguu na mgonjwa wa operation ya mguu akafanyiwa ya kichwa hao sio wa kuamini sana
 
Ndo nimekuja kwenu kupata uzoefu wa hii kitu

Uzito wako kiasi gani? Na je unafanya mazoezi ya pumzi mara kwa mara kama kukimbia, kuruka kamba na pushups? Na je maji unakunywa ya kutosha? Ushajaribu kutafuna pilipili manga? Kutafuna tangawizi? Na je vyakula unakula aina gani zaidi vilivoungwa na mafuta au vilivyopikwa kwa kuchemshwa tu au kuchomwa au kuokwa? Na je wingi wako wa damu ukoje mwilini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…