one republic
Member
- Jul 1, 2021
- 79
- 135
Hivi kumuelezea nilipita kwa daktar flani ntakua sio sahihi etiIngekuwa ni mimi dr wa kwanza ningemweleza kuwa nimepitia kwa dr (bila kumtaja jina wala hospital) na akaniandikia vipimo hivi na kunipa ushauri huu. Halafu huyo mwingine nitamwambia tu nilimwelezea mtu wangu wa karibu akaniambia pengine inaweza kuwa ni tatizo fulani hivyo niende kucheki.
Madaktar mpaka Sasa ndani ya miaka9 nilioonana nao prof yongolo,Dr ikbar,kapona,Dr chacha,physician mkoani, madr mnh mara mbili wao wanasema hakuna shida,ushauri saikolojia Dr mauki..Kuna watu wapuuzi humu mtu ameshaeleza amefanya yote mliyomuelekeza na hajapata mafanikio yeyote bado mnang'ang'ania sijui hasikilizi ushauri na bado amechukua hatua nyingine nyie mnamuona mkaidi wabongo tabu sana
labda kwaajili wewe mwanaumd..ila kuna njia nyingi tu za kumfikisha mwenzi wako...usijitese kihivyooMkuu nikiishia round yakwanza najiona sjaridhika sababu niround ya dk3 tu siwezi Tena alafu hiyo roud wakat mwingne nafeli uume ukiwa ukeni ama hata kabla ajaingiza...napia mwenza wangu hiyo Hali haridhiki simfikishi kwa dk3 anahitaji zaid angalau dk20 nazaid awe amefika mshindo hata mara2
Every minute n second.. hakika hutuwahi kujutia kwa uwamuzi wako, ila usikute unajenga ukuta na kubomoa. Mawazo hasi, majibu hasi juu ya hicho unakiona kwako tatizo achana nayo wala usiyape ruhusa katika akili yakoNgoja nianze fanya hivo iwe utamaduni Kila siku
mwache awe changudoa kama anajielewa hawezi kufanya huo ujinga labda kama ni gandaSasa mke sikunakuachika au kugongewa kama simtombi vizur simridhishi
Hakika mkuumwache awe changudoa kama anajielewa hawezi kufanya huo ujinga labda kama ni ganda
huwezi mridhisha binadamu...acha kabisaSasa mke sikunakuachika au kugongewa kama simtombi vizur simridhishi
Habar wakuu nimefanya vipimo juu ya tatizo langu languvu zakiume..shida imekuja kuinekana kuwa mirija yangu yakwenye uume nimiembamba haileti damu nyingi kwenye umeme ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibid kurudia troundi nyingine... kwaiyo daktar kasema huwa hakuna tiba nyingine zaid yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo nakuweza kurudia roud nyinge..maana ilikua kurudia round nibaada ya masaa 8.. wakuu je ninjia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume
Acha nisijitese nifuate ushauri wenulabda kwaajili wewe mwanaumd..ila kuna njia nyingi tu za kumfikisha mwenzi wako...usijitese kihivyoo
Kabisa kwangu ilikua nimwendo wa mawazo hasi majibu hasi maana yaan hata ukiombwa tendo namke inakua unawaza sanaEvery minute n second.. hakika hutuwahi kujutia kwa uwamuzi wako, ila usikute unajenga ukuta na kubomoa. Mawazo hasi, majibu hasi juu ya hicho unakiona kwako tatizo achana nayo wala usiyape ruhusa katika akili yako
Nimekuelewa mkuu kweli kama Ganda mke atafanya huo ujinga kama anajielewa hatofanya..Sasa wakwangu anaonyesha dhahiri jinsi amabavyo hafurahii tendo navyofeli uwanjani ananungunika na kutuumia hapati Ile nafsi Yake inatakamwache awe changudoa kama anajielewa hawezi kufanya huo ujinga labda kama ni ganda
Nikweli kabisahuwezi mridhisha binadamu...acha kabisa
Mdm urology specialize hospital...shida sio kurudia Hilo tu lakwanza nimda mchache sana dk3 hazizid hapo au kufeli kabla ya dk3 ukalala sjafika mshindo au kushindwa kusimama kuingiza ukeniAchana na hu ujinga, jama unawezana umezalisha, au mtoto, achana nakurudia tendo, hakuna mashindano ndugu uanze ma operation yasiyo maana, na ni Hospital gani hiyo?
Hili tatizo limekufanya upoteze kujiamini na kusikiliza kila unaloambiwa na daktari, anza mazoezi na hilo goti litapona kwa mazoezi, kula na kunywa vitu bvinavyoongeza hamu ya tendo na nguvu. Tatu jiamini.Ndo Hiko Hiko wanaweka kitube ktk uume amchazo kinakua kinajazwa na pampu unapotaka kufanya inasimama tube ikiwa na upepo Ina enlarge kufanya uume usimame mda mrefu zaid operation Yake yakuweka naskia m12
Mdm urology specialize hospital...shida sio kurudia Hilo tu lakwanza nimda mchache sana dk3 hazizid hapo au kufeli kabla ya dk3 ukalala sjafika mshindo au kushindwa kusimama kuingiza ukeni
Mkuu kujiamimni nilishapoteza nahofu nyingi sana Sasa ktk kuliendea tendo...pia uko nyuma nshajitune kwakutoa hofu nakujiamini sana ila still nkawa nakua vile vile sjui nakosea wap...kuhusu goti aisee yaan lilishashindikana naweza Anza mazoezi vizur kufikia wika yatatu goti linaumaaa baada ya wiki moja linaacha ikifika wiki yatano ya mazoezi linauma zaid siwez kukimbia hata kidogo hata nijilazimishaje wapi nalazimika kuacha mazoezHili tatizo limekufanya upoteze kujiamini na kusikiliza kila unaloambiwa na daktari, anza mazoezi na hilo goti litapona kwa mazoezi, kula na kunywa vitu bvinavyoongeza hamu ya tendo na nguvu. Tatu jiamini.
Hiyo ndio. Tiba.
Watoto wenyewe ninao2,solution ya kuwa namishipa miembamba ya uume ndio nahangaika kujua nin solution ya kufanya mishipa itanuke yauume iwe mikubwa kuweza kuruhusu damu ifike nyingiSoma sana details ya shida solution, mazara, side effects etc, maisha ni mazuri tu sana kama unaweza kuwa na watoto hata kama kula Mbususu ni shida.
Sina hakika kama hyo huduma inafanyika hapa nchini,sijawahi kuisikia..jamaa atakuwa katupiga kamba
Hesabu rahisi hebu nipe jibu lake ?Kabisa kwangu ilikua nimwendo wa mawazo hasi majibu hasi maana yaan hata ukiombwa tendo namke inakua unawaza sana