Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Ndo Hiko Hiko wanaweka kitube ktk uume amchazo kinakua kinajazwa na pampu unapotaka kufanya inasimama tube ikiwa na upepo Ina enlarge kufanya uume usimame mda mrefu zaid operation Yake yakuweka naskia m12

[mention]malembeka18 [/mention] Nakushauri acha kujisumbua na mambo ya tube yote hayo sio suluhisho sahihi iyo inawork kwa watu ambao hawasimamishi kabisa, we unaupungufu tuu wa nguvu za kiume, najua kinachokupa stress ni mwenza wako, kubali kua we ni mgojwa kwa sasa tulia ruhusu kubali kua mkeo ndo ushampoteza na kuliwa ni lazima kubali kabisa kwenye moyo wako bila hata kuona na usimchukie.

Anza na kutibu magojwa yote ulo nayo kama vidonda vya tumbo na mengine, jiwekee rishe bora za kujenga afya yako jitahidi kufanya mazoezi na sio lazima mazoez mazito nenda cheza hata volleyball ukishidwa jiunge hata team za kuogelea yan fanya mazoezi ambayo ndani yake kuna michezo itakupa hobbie

Kingine cha mwisho unaweza ona ni upuuzi ila kila miezi mitatu unapofanya ayo hote tafuta binti ambaye hamjuani na humpendi wala nini nenda kalale nae kujipima umefikia wapi uwezo wako wa kumudu tendo, ukiona umeimprove rudi tena kwenye formla za mazoezi na vyakula ongeza ratio na rudi kwa dem angalia matokeo mpaka pale utaona mambo yako fresh ndo urudi kwa wife, matokeo ndo yatakumbia kama unayofanya yanaimpact kiasi gani kwenye tatizo lako.

Iyo itakusaidia kupata majibu sahihi ila ukiwa unarudi kujaribu kwa mwenza wako lazima attention itakua kubwa atataka kuona kama umebadirika au bado uko vilevile, pia hata ukiwa imeimprove kidogo still utakua dispointed, so iyo attension ndo itayokua inakurudishia ule uwoga, inabidi ulale na wanawake wa nje ikibidi nunua hata malaya wa hadhi ila chunga afya kwanza alafu pania kumnyoosha alafu huone uwezo wako upovipi, ukishaona umekua sawa ndo rudi kwa mpenzi wako utakua tayari una confidence yakutosha na utamyoosha vizuri tu.
 
Asante...hiyo dawa niyanin
Kwa msaada wa Google mkuu sijui wataalamu wanasemaje humu ndani kuhusu hii dawa
Screenshot_20230723-160134.jpg
Screenshot_20230723-160105.jpg
Screenshot_20230723-160033.jpg
 
Kufanya kwaukamilifu ndio sometime inakuwa yes sometimes inakuwa no yaani ngoma inasima ukiweka ukeni ikipampu dk2 inalala ikiwa humo humo au dk3 umekujoa kurudia baada ya masaa mengi
pole sana jaman 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Pole sana chief kiukwer hii njia yakitabibu tunaiamini kwakua wazungu washatuaminisha hatuna pakukwepea naomba nikushauri tafuta home la mkorosho ,mchaichai,mdizi yaani vitoto vya ndizi vile vyeupe na manyoya na mahindi changanya Kisha kunywa kipimo kikombe cha chai asbhi na jioni siku 14 utanishukuru
 
Ndo nataka kujua tiba mbadala yakutanua mishipa hiyo iliyo miembamba ya kwenye uume inayohusika na kuleta damu
pamoja na yote fanya mazoezi ya kegel kila siku ya mungu,haya mazoezi yanafanya mzunguko wa damu kwenda uumeni uwe mkubwa na misuli kuwa imara.kegel exercise
 
Uzito kg 72 urefu cm168 mazoezi ya pumzi kukimbia sifanyi sababu na matatizo ya goti kuuma wakati kufanya mazoezi kuruka kamba yenyewe inawezekana pushup sijawahi fanya kwakweli sababu mi mfupi sitaki maji yenyewe nakunywa kuanzia lita2 Hadi tatu kwasiku...pilipili manga sijawahi tafuna maana nna vidonda vya tumbo
Haya matatizo siku hizi yapo kwa wengi baada ya kulijua hili nikaanza kuelimisha jamii yangu kupitia Whatsapp yangu kama utakuwa interested njoo PM nikutumie namba unicheki Whatsapp utakuwa ukiona kila nachopost ambacho lazima vikusaidie sana
 
Ukiishia round 1 unakuwa hujaridhika unahitaji zaidi mkuu?

Tuanze na self satisfaction unajiskiaje? Haya mahangaiko ni kwa ajili yako binafsi

Au kwa ajili ya mwenzio ambae yeye haridhiki na round 1, tuanzie hapo kwanza.
Na ukifanya round 1 kwa nusu saa inatosha kabisa
 
Usikubali ndugu yangu fanya mazoezi ya kegel,fanya mazoezi mengine ya Mwili utakaa sawa
 
Kama mwili hauumii / yani hakuna maumivu ya nini ujitese hivo si uache.

Yani vipimo vyote hivyo kwa ajili ya kusaka nguvu za kiume, zikupeleke wapi
 
Mwenzi wangu haridhiki na round moja.. Tena Bora ingekuwa niroud anagalau Ni ya dk10+ ila ni round ya chini ya dakika 5
1) Una mri gani?
2) Muulize daktari kuwa, hakuna dawa ya kutanua hiyo mishipa iliyosinyaa?
 
Sjajua kama ipo au haipo..ila daktar kwa maelezo yake kanambia tiba yake huwa nikuwekewa vipandikizi hakuna tiba Zaid ya hiyo kwamaelezo yake
Gharama zake utakuta ni kama milioni kumi hivi, bora uende kwenye tiba mbadala.
 
Back
Top Bottom