Canabian Rasta
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 775
- 1,745
Ndo Hiko Hiko wanaweka kitube ktk uume amchazo kinakua kinajazwa na pampu unapotaka kufanya inasimama tube ikiwa na upepo Ina enlarge kufanya uume usimame mda mrefu zaid operation Yake yakuweka naskia m12
[mention]malembeka18 [/mention] Nakushauri acha kujisumbua na mambo ya tube yote hayo sio suluhisho sahihi iyo inawork kwa watu ambao hawasimamishi kabisa, we unaupungufu tuu wa nguvu za kiume, najua kinachokupa stress ni mwenza wako, kubali kua we ni mgojwa kwa sasa tulia ruhusu kubali kua mkeo ndo ushampoteza na kuliwa ni lazima kubali kabisa kwenye moyo wako bila hata kuona na usimchukie.
Anza na kutibu magojwa yote ulo nayo kama vidonda vya tumbo na mengine, jiwekee rishe bora za kujenga afya yako jitahidi kufanya mazoezi na sio lazima mazoez mazito nenda cheza hata volleyball ukishidwa jiunge hata team za kuogelea yan fanya mazoezi ambayo ndani yake kuna michezo itakupa hobbie
Kingine cha mwisho unaweza ona ni upuuzi ila kila miezi mitatu unapofanya ayo hote tafuta binti ambaye hamjuani na humpendi wala nini nenda kalale nae kujipima umefikia wapi uwezo wako wa kumudu tendo, ukiona umeimprove rudi tena kwenye formla za mazoezi na vyakula ongeza ratio na rudi kwa dem angalia matokeo mpaka pale utaona mambo yako fresh ndo urudi kwa wife, matokeo ndo yatakumbia kama unayofanya yanaimpact kiasi gani kwenye tatizo lako.
Iyo itakusaidia kupata majibu sahihi ila ukiwa unarudi kujaribu kwa mwenza wako lazima attention itakua kubwa atataka kuona kama umebadirika au bado uko vilevile, pia hata ukiwa imeimprove kidogo still utakua dispointed, so iyo attension ndo itayokua inakurudishia ule uwoga, inabidi ulale na wanawake wa nje ikibidi nunua hata malaya wa hadhi ila chunga afya kwanza alafu pania kumnyoosha alafu huone uwezo wako upovipi, ukishaona umekua sawa ndo rudi kwa mpenzi wako utakua tayari una confidence yakutosha na utamyoosha vizuri tu.