Juzi wakati nimesimama mbele ya ofsi za kata maeneo flani Kuna askari polisi wa kike akawa anakuja anaongea na simu basi nayeye katika kuongea kwake na simu inaonekana yalikua maongezi marefu akawa amesimama hayo hayo maeneo.
Mwana mmoja kavaa zake simple tu kaputula jinz ya mtumba,t-shirt ya mtumba nae atokea uelekeo aliotokea huyo askari polisi wa kike,kufika pale alivyomuona demu Akasimama akajifanya anamuulizia maswala ya ofsi ya kata.
Demu akaanza ofsini wapo ingia kama una shida na humo ndani ingia tu watakusikiliza hapo demu bado anaongea na simu.Basi mwana ndo akawa anamsogelea demu kusikilizia amalize kuongea na simu.
Kimoyo moyo nikawa najisemea Wala huyo Hana shida na humo ndani bali anataka hiyo namba Yako tu.Na kweli bhana baada kama ya sekunde kadhaa mwana kapewa namba kaondoka zake.
Ingawa demu mwenyewe Ambae ni askari polisi sio pisi Kali kiivo kwanza ana makovu makovu mashavuni sijui aliungua na moto utotoni lakini hiyo cormfidance ya kutongoza maaskari ningekua nayo Mimi mana Kuna pisi Kali zimo humo jeshi la polisi ni hatari.Ukizingatia Hela Sina,status yoyote ile kwenye jamii Sina duu natamani sana.