Natamani huu ujasiri wa huyu mwamba ningekua nao mimi

Natamani huu ujasiri wa huyu mwamba ningekua nao mimi

Mwanaume kuanzisha Uzi wa kuogopa kutongoza police ni vile tu ccm imetufiksha hapa.

Kuna msukuma kaenda Hadi Kwa Ruto na kuoa kabisa!

Mimi nimewahi mpigia simu Waziri wa nchi nikiomba mawasiliano ya Binti yake akaniambia nitafute njia nyingine na ni mkome kumpigia simu nikitaka namba za Binti yake.

Sasa wewe kuweza?
😂😂😂
 
Sasa mbona mtaani wanajifanya nao km ni polisi, tena wanavotumwa kukamata watu basi shida.
Kupata Umate ndio wanaenda kutumika na jiji,halmashauri na polisi jamii.. ila kwenye parade kubwa za majesh huwezi amini Mg anafoleni(Senior) kabla ya Polisi..
 
Back
Top Bottom