OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nilihamia kwangu mwaka 2016. Kabla ya hapo nilipanga nyumba ya mama mmoja mstaafu. Yule mama alikiri hakuwahi kupata mpangaji kama mimi.
1. Kodi alitaka nilipe kwa miezi mitatu lakini nilikuwa namlipa kwa mwaka mzima.
2. Mara nyingi nilikuwa nalipa kodi kabla haijaisha. Nikishapata hela isiyo kwenye bajeti naanza kupunguza kodi.
3. Shida ndogo ndogo kama marekebisho ya maji, umeme, milango nilikuwa namaliza mwenyewe. Nyumba ilikuwa inavutia mazingira ya nje. Nilipanda maua na kupaweka katika hali nzuri.
Sasa nashangazwa na wapangaji wengine.
1. Kodi imeisha anajifanya kama hajui, eti mpaka umtafute. Kama hana kodi amepungukiwa si anatakiwa kujisalimisha ili mwenye nyumba awe informed?
2. Nyumba chafu majani yamejaa. Unajiuliza huyu haoni aibu? Au anataka unataka mwenye nyumba aje akulimie majani.
Najiuliza kwa nini wapangaji wengine hawapo kama nilivyokuwa mimi?