Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mkuu,Nilihamia kwangu mwaka 2016. Kabla ya hapo nilipanga nyumba ya mama mmoja mstaafu. Yule mama alikiri hakuwahi kupata mpangaji kama mimi.
1. Kodi alitaka nilipe kwa miezi mitatu lakini nilikuwa namlipa kwa mwaka mzima.
2. Mara nyingi nilikuwa nalipa kodi kabla haijaisha. Nikishapata hela isiyo kwenye bajeti naanza kupunguza kodi.
3. Shida ndogo ndogo kama marekebisho ya maji, umeme, milango nilikuwa namaliza mwenyewe. Nyumba ilikuwa inavutia mazingira ya nje. Nilipanda maua na kupaweka katika hali nzuri.
Sasa nashangazwa na wapangaji wengine.
1. Kodi imeisha anajifanya kama hajui, eti mpaka umtafute. Kama hana kodi amepungukiwa si anatakiwa kujisalimisha ili mwenye nyumba awe informed?
2. Nyumba chafu majani yamejaa. Unajiuliza huyu haoni aibu? Au anataka unataka mwenye nyumba aje akulimie majani.
Najiuliza kwa nini wapangaji wengine hawapo kama nilivyokuwa mimi?
Hii issue imekaa genetically mshukuru Mungu sana Kwa kua wewe umekua exceptional eg. Mfano mtu anaamua kudanganya hata pasipo staili kudanganya
Mimi pia kipindi Napanga nilikua napendwa sana na wenye nyumba Mimi sipendagi mambo ya uswahili Swahili dats sipendaki kukaa uswahili.....