Natamani kila mpangaji angekuwa kama nilivyokuwa mimi

mwaka mzima? siwezi aise...

mfano kodi ni elfu 50 kwa mwezi, mwaka mzima laki 6... duh hamna!

ale mitatu tu, inayobaki 450,000 naikopesha kausha damu, riba 20% kwa wiki.. ntaingiza laki 7 nyingine kwa miezi miwili..
Screenshot_20231213-120022.jpg
Screenshot_20231213-120105.jpg
 
Wote mngekua mimi mngelala MILANGO wazi .......sauti ya Nikki wa pili
 
Mtu asiethamini makazi yake hata yakiwa ni ya kupanga hawezi kuthamini hata nyumba yake mwenyewe atakayomiliki.

Nyumba yangu ya kwanza kumiliki ilikuwa ni nyumba ambayo nilipanga hapo awali. Nillichukulia kama kwangu hata kabla ya kuwa na nia wala uwezo wa kuinunua.

Ilipofika kipindi cha huyo mzee kutaka kuuza hiyo nyumba alinifuata kabla hata kutangaza kwa madalali. Alinambia anahofia atakaenunua nyumba yake anaweza asiithamini kama nilivyoithamini mimi.

Sikuwa na uwezo wa pesa taslim kuweza kuinunua, yule mzee alinambia ana shida ya kiasi fulani, nikiweza kumtanguliza nyingine tutalipana kwa awamu. Bahati nzuri hicho kiasi nilikipata na baada ya muda nilimmalizia deni lake.

Point hapa ni kwamba thamini kile kinachokufaa hata kama sio cha kwako, huwezi juwa upepo unaweza kubadilika na ukajikuta unamiliki hicho kitu huku ukiwa ushakiharibu kwa vile ulidhani unapita njia tu.
 
Nyumba za kupanga ni biashara nzuri ila zinakero hizo,ni Bora mara mia ujenge lodge ujue Kila siku unalaza Hela Yako na husumbuani na wapangaji.
 
Ukaoa sasa?
No. Sikumwoa mwanae. Na kabla ya kuoa mwingine ili nisimuumize huyo mama na mwanae niliyetakiwa kumwoa ikabidi nihamie nyumba nyingine ya mbali kidogo. Lakini bado waliendelea kuwa family friends hadi leo hii. Kifupi siyo huyo tu bali kote nilikopita kama mpangaji hadi leo ni family friends.
 
Umenikumbusha kuna jamaa alikuwa ana ukaribu sana na familia moja,ikabidi nihoji kama ni ndugu. Wakasema aliwahi kuwa mpangaji wao miaka ya 90. Daah
 
Nilihamia kwangu mwaka 2016. Kabla ya hapo nilipanga nyumba ya mama mmoja mstaafu. Yule mama alikiri hakuwahi kupata mpangaji kama mimi.

1. Kodi alitaka nilipe kwa miezi mitatu lakini nilikuwa namlipa kwa mwaka mzima.

2. Mara nyingi nilikuwa nalipa kodi kabla haijaisha. Nikishapata hela isiyo kwenye bajeti naanza kupunguza kodi.

3. Shida ndogo ndogo kama marekebisho ya maji, umeme, milango nilikuwa namaliza mwenyewe. Nyumba ilikuwa inavutia mazingira ya nje. Nilipanda maua na kupaweka katika hali nzuri.

Sasa nashangazwa na wapangaji wengine.
1. Kodi imeisha anajifanya kama hajui, eti mpaka umtafute. Kama hana kodi amepungukiwa si anatakiwa kujisalimisha ili mwenye nyumba awe informed?

2. Nyumba chafu majani yamejaa. Unajiuliza huyu haoni aibu? Au anataka unataka mwenye nyumba aje akulimie majani.

Najiuliza kwa nini wapangaji wengine hawapo kama nilivyokuwa mimi?
Mkuu pole sana..
Lakini ilipaswa umwambie mwa kumtumia meseji kama mpangaji wako ni mkorofi na halipi kodi kwa wakati..
Kutumia mafumbo haitamsaidia
 
Nilihamia kwangu mwaka 2016. Kabla ya hapo nilipanga nyumba ya mama mmoja mstaafu. Yule mama alikiri hakuwahi kupata mpangaji kama mimi.

1. Kodi alitaka nilipe kwa miezi mitatu lakini nilikuwa namlipa kwa mwaka mzima.

2. Mara nyingi nilikuwa nalipa kodi kabla haijaisha. Nikishapata hela isiyo kwenye bajeti naanza kupunguza kodi.

3. Shida ndogo ndogo kama marekebisho ya maji, umeme, milango nilikuwa namaliza mwenyewe. Nyumba ilikuwa inavutia mazingira ya nje. Nilipanda maua na kupaweka katika hali nzuri.

Sasa nashangazwa na wapangaji wengine.
1. Kodi imeisha anajifanya kama hajui, eti mpaka umtafute. Kama hana kodi amepungukiwa si anatakiwa kujisalimisha ili mwenye nyumba awe informed?

2. Nyumba chafu majani yamejaa. Unajiuliza huyu haoni aibu? Au anataka unataka mwenye nyumba aje akulimie majani.

Najiuliza kwa nini wapangaji wengine hawapo kama nilivyokuwa mimi?

Ukiwa nazo za kukukidhi, shukuru Mungu na uwaombee ambao hawana, nikiwa na miaka kati ya 35 mpaka 40 niliishi Maisha magumu sana. Kamwe I will not look down on someone.
 
Mkuu kukosa sio dhambi. Je, busara ni kupiga kimya au kuwa muwazi mtu akusaidie. Je, usafi una mahusiano gani na uchumi

Ujaongelea usafi peke yake, umeongelea kulipa mwaka mzima etc, andiko lazo zuri, ila lina element ya kiburi.

Kuna watu wema wengi sana ila wanapitia wakati mgumu sana, hawawezi kuwa kama wewe kwa sababu hawana fursa.

Na wewe ulivyo ni vyema, ila ni kwa sababu una afya ambayo amekupa Mungu, ungekuwa huna pengine usingewe, kuwa ulivyo.

Siku zote ukiongelea mafanikio, kwanza mshukuru Mungu, then endelea na mengine, nafikiri bado u mdogo ki umri, haya maisha hayana adabu.

Kuna jamaa alikuwa kijana wangu anaendesha lory la mchanga, nilimpenda sana, mstaarabu, analipa lodi kwa wakati etc, mtu mwema sana sana.

Siku moja alikuwa anashuka na lory Ngorongoro, akapata ajali, akaparalyse nusu, anahudumiwa na mke kila kitu, hata ngoma haisimami kabisa.

Kakaa ndani mda sana, akaanza uza vitu, baada ya mda sababu ya kukaa sana, akapata Kisukari, just imagine maisha yake.

Mshukuru Mungu ulivyo, ondoa neno kama mimi, nakupongeza, ila sio kwamba wote ambao hawako kama wewe ni wabaya.
 
Mimi nlipanga kwa yule mama kwa miaka 3. Hyo yote nilikua namlipa kila mwezi, tena yeye ndo alishauri iwe hvo baada ya kukwama mara moja kumlipa miez 3.
Hajawahi kunitafta, n mimi mwenyewe ikifika tareh 30 napeleka hela. Sometimes naeza kusafiri hata miez 3, naweka kwenye account yake.
Ufunguo wa nyumba nlikua nauacha dirishani na ntakuta salama kbsa.
Vijana wake wakizingua alikua anakuja kushtaki kwangu ili niongee nao na kuwaonya.
Na hata nkitoka safari, nkibeba mizigo lazma nkifika wife akate baadhi ampelekee kama zawadi
Hadi naondoka timebaki kama familia.
 
Nilihamia kwangu mwaka 2016. Kabla ya hapo nilipanga nyumba ya mama mmoja mstaafu. Yule mama alikiri hakuwahi kupata mpangaji kama mimi.

1. Kodi alitaka nilipe kwa miezi mitatu lakini nilikuwa namlipa kwa mwaka mzima.

2. Mara nyingi nilikuwa nalipa kodi kabla haijaisha. Nikishapata hela isiyo kwenye bajeti naanza kupunguza kodi.

3. Shida ndogo ndogo kama marekebisho ya maji, umeme, milango nilikuwa namaliza mwenyewe. Nyumba ilikuwa inavutia mazingira ya nje. Nilipanda maua na kupaweka katika hali nzuri.

Sasa nashangazwa na wapangaji wengine.
1. Kodi imeisha anajifanya kama hajui, eti mpaka umtafute. Kama hana kodi amepungukiwa si anatakiwa kujisalimisha ili mwenye nyumba awe informed?

2. Nyumba chafu majani yamejaa. Unajiuliza huyu haoni aibu? Au anataka unataka mwenye nyumba aje akulimie majani.

Najiuliza kwa nini wapangaji wengine hawapo kama nilivyokuwa mimi?
Wewe kama mimi. Mimi nalipa kodi kabla hata ya kuisha wakati mwenye nyumba mwenyewe hana hata habari nayo jamaa anaishi US ila kuna jamaa yake ndiye huwa nawasiliana naye.
Kodi inalipwa january ila mimi hapa november nimeshalipa kodi ya mwakani.
Sipendi kusumbuana na kodi ya mtu nikipata pesa ambayo haiko kwenye budget naona nilipe tu.
 
Ujaongelea usafi peke yake, umeongelea kulipa mwaka mzima etc, andiko lazo zuri, ila lina element ya kiburi.

Kuna watu wema wengi sana ila wanapitia wakati mgumu sana, hawawezi kuwa kama wewe kwa sababu hawana fursa.

Na wewe ulivyo ni vyema, ila ni kwa sababu una afya ambayo amekupa Mungu, ungekuwa huna pengine usingewe, kuwa ulivyo.

Siku zote ukiongelea mafanikio, kwanza mshukuru Mungu, then endelea na mengine, nafikiri bado u mdogo ki umri, haya maisha hayana adabu.

Kuna jamaa alikuwa kijana wangu anaendesha lory la mchanga, nilimpenda sana, mstaarabu, analipa lodi kwa wakati etc, mtu mwema sana sana.

Siku moja alikuwa anashuka na lory Ngorongoro, akapata ajali, akaparalyse nusu, anahudumiwa na mke kila kitu, hata ngoma haisimami kabisa.

Kakaa ndani mda sana, akaanza uza vitu, baada ya mda sababu ya kukaa sana, akapata Kisukari, just imagine maisha yake.

Mshukuru Mungu ulivyo, ondoa neno kama mimi, nakupongeza, ila sio kwamba wote ambao hawako kama wewe ni wabaya.
Uttoh umeongea kwa busara ya hali ya juu.
 
Nilikaa miaka minne Kwa mama mmoja hv mjane kablaa ya mwezi cjaamia Kwenye kibanda changu Cha chumba kimojaa hakijaisha hata vzr nikamwambiaa ,mama ntahama mwezi ujao kwenda huko njee ya mji Kwenye kibanda changu nimejenga niepukane na Kodi angalau .

Akaniambia mwanangu km ujamaliza hcho kibanda Chako vzr nakupa offa ya kukaa hapa mwaka mzima mpk kibanda Chako kikamilike kbs ndio uendee usiwe na wsws kuhusu kodii maana umegeukaa sehemu ya wtt wangu na umenisaidia sana kuwaweka hawa wangu ktk mstari maana walishaangukia Kwenye ulevi wakupindukia na kazi wakawa hawataki kbs ,ila tangu uamie hapa hakikaa umekuwa km malaikaa wakuwakomboa wanangu nakuwa ktk mstari na ss wameweza kusimama tenaa ..

Kiukwel wale watoto wa yulé mama jamii iliwachokaa kutokana na tabia zao za wizi na ulevi na matuc kabla cjakutana nao ilaa baada ya kukaa nao nakuwabadilisha Kwa kuwaweka bize na kazi zangu ninazofanya .Leo jamii na mama Yao Wanawakubali nawamekuwa na uwezo angalau wanafanyaa biashara maana mama alipokea mafao akawapa mtaji Kila mmoja Tena mbele yangu na majamaa hajachezea fursa wanapigana haswaa hata pombe hawajui Tena Wala c wezi Tena.

Hvyo wapangaji wengine wanakuja Kwenye nyumba za kupanga km malaikaa wengine km mashetani[emoji23]
 
Ujaongelea usafi peke yake, umeongelea kulipa mwaka mzima etc, andiko lazo zuri, ila lina element ya kiburi.

Kuna watu wema wengi sana ila wanapitia wakati mgumu sana, hawawezi kuwa kama wewe kwa sababu hawana fursa.

Na wewe ulivyo ni vyema, ila ni kwa sababu una afya ambayo amekupa Mungu, ungekuwa huna pengine usingewe, kuwa ulivyo.

Siku zote ukiongelea mafanikio, kwanza mshukuru Mungu, then endelea na mengine, nafikiri bado u mdogo ki umri, haya maisha hayana adabu.

Kuna jamaa alikuwa kijana wangu anaendesha lory la mchanga, nilimpenda sana, mstaarabu, analipa lodi kwa wakati etc, mtu mwema sana sana.

Siku moja alikuwa anashuka na lory Ngorongoro, akapata ajali, akaparalyse nusu, anahudumiwa na mke kila kitu, hata ngoma haisimami kabisa.

Kakaa ndani mda sana, akaanza uza vitu, baada ya mda sababu ya kukaa sana, akapata Kisukari, just imagine maisha yake.

Mshukuru Mungu ulivyo, ondoa neno kama mimi, nakupongeza, ila sio kwamba wote ambao hawako kama wewe ni wabaya.
Watanzania wengi tuliopitia msoto na uduni Wa Maisha Mara tu Mungu atubarikipo hua tunajenga vi elements vya kibri na dharau hasa kwa wale ambao muda Wa kubarikiwa haujafika na kuwaona wazembe, wavivu, wachafu, maskini,wajinga, mm binafsi siwezi kudharau hali ya kukosa kwa mtu kiss mm ninacho abadani hasilani.
 
Back
Top Bottom