Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Mkuu mimi nina ajira toka 2013 nikianza na mshahara wa zaidi ya 1m. Fikiria mpaka sasa nitakuwa majalala tu?nilikuwa nakuchukilia poa. kutokana na vichekesho vya thread zako.
Mkuu wewe ndio chanzo cha watu kuongea peke yao 😀😀mwaka mzima? siwezi aise...
mfano kodi ni elfu 50 kwa mwezi, mwaka mzima laki 6... duh hamna!
ale mitatu tu, inayobaki 450,000 naikopesha kausha damu, riba 20% kwa wiki.. ntaingiza laki 7 nyingine kwa miezi miwili..View attachment 2841259View attachment 2841260
[emoji23][emoji23][emoji23]mwaka mzima? siwezi aise...
mfano kodi ni elfu 50 kwa mwezi, mwaka mzima laki 6... duh hamna!
ale mitatu tu, inayobaki 450,000 naikopesha kausha damu, riba 20% kwa wiki.. ntaingiza laki 7 nyingine kwa miezi miwili..View attachment 2841259View attachment 2841260
No. Sikumwoa mwanae. Na kabla ya kuoa mwingine ili nisimuumize huyo mama na mwanae niliyetakiwa kumwoa ikabidi nihamie nyumba nyingine ya mbali kidogo. Lakini bado waliendelea kuwa family friends hadi leo hii. Kifupi siyo huyo tu bali kote nilikopita kama mpangaji hadi leo ni family friends.Ukaoa sasa?
Umenikumbusha kuna jamaa alikuwa ana ukaribu sana na familia moja,ikabidi nihoji kama ni ndugu. Wakasema aliwahi kuwa mpangaji wao miaka ya 90. DaahNo. Sikumwoa mwanae. Na kabla ya kuoa mwingine ili nisimuumize huyo mama na mwanae niliyetakiwa kumwoa ikabidi nihamie nyumba nyingine ya mbali kidogo. Lakini bado waliendelea kuwa family friends hadi leo hii. Kifupi siyo huyo tu bali kote nilikopita kama mpangaji hadi leo ni family friends.
Mkuu pole sana..Nilihamia kwangu mwaka 2016. Kabla ya hapo nilipanga nyumba ya mama mmoja mstaafu. Yule mama alikiri hakuwahi kupata mpangaji kama mimi.
1. Kodi alitaka nilipe kwa miezi mitatu lakini nilikuwa namlipa kwa mwaka mzima.
2. Mara nyingi nilikuwa nalipa kodi kabla haijaisha. Nikishapata hela isiyo kwenye bajeti naanza kupunguza kodi.
3. Shida ndogo ndogo kama marekebisho ya maji, umeme, milango nilikuwa namaliza mwenyewe. Nyumba ilikuwa inavutia mazingira ya nje. Nilipanda maua na kupaweka katika hali nzuri.
Sasa nashangazwa na wapangaji wengine.
1. Kodi imeisha anajifanya kama hajui, eti mpaka umtafute. Kama hana kodi amepungukiwa si anatakiwa kujisalimisha ili mwenye nyumba awe informed?
2. Nyumba chafu majani yamejaa. Unajiuliza huyu haoni aibu? Au anataka unataka mwenye nyumba aje akulimie majani.
Najiuliza kwa nini wapangaji wengine hawapo kama nilivyokuwa mimi?
Nilihamia kwangu mwaka 2016. Kabla ya hapo nilipanga nyumba ya mama mmoja mstaafu. Yule mama alikiri hakuwahi kupata mpangaji kama mimi.
1. Kodi alitaka nilipe kwa miezi mitatu lakini nilikuwa namlipa kwa mwaka mzima.
2. Mara nyingi nilikuwa nalipa kodi kabla haijaisha. Nikishapata hela isiyo kwenye bajeti naanza kupunguza kodi.
3. Shida ndogo ndogo kama marekebisho ya maji, umeme, milango nilikuwa namaliza mwenyewe. Nyumba ilikuwa inavutia mazingira ya nje. Nilipanda maua na kupaweka katika hali nzuri.
Sasa nashangazwa na wapangaji wengine.
1. Kodi imeisha anajifanya kama hajui, eti mpaka umtafute. Kama hana kodi amepungukiwa si anatakiwa kujisalimisha ili mwenye nyumba awe informed?
2. Nyumba chafu majani yamejaa. Unajiuliza huyu haoni aibu? Au anataka unataka mwenye nyumba aje akulimie majani.
Najiuliza kwa nini wapangaji wengine hawapo kama nilivyokuwa mimi?
Mkuu kukosa sio dhambi. Je, busara ni kupiga kimya au kuwa muwazi mtu akusaidie. Je, usafi una mahusiano gani na uchumiUkiwa nazo za kukukidhi, shukuru Mungu na uwaombee ambao hawana, nikiwa na miaka kati ya 35 mpaka 40 niliishi Maisha magumu sana. Kamwe I will not look down on someone.
Mkuu kukosa sio dhambi. Je, busara ni kupiga kimya au kuwa muwazi mtu akusaidie. Je, usafi una mahusiano gani na uchumi
Mkuu hongera sana Mimi kazini nina over 13 years. Mpaka leo nahangaika kwenye nyumba za kupanga!Mkuu mimi nina ajira toka 2013 nikianza na mshahara wa zaidi ya 1m. Fikiria mpaka sasa nitakuwa majalala tu?
Wewe kama mimi. Mimi nalipa kodi kabla hata ya kuisha wakati mwenye nyumba mwenyewe hana hata habari nayo jamaa anaishi US ila kuna jamaa yake ndiye huwa nawasiliana naye.Nilihamia kwangu mwaka 2016. Kabla ya hapo nilipanga nyumba ya mama mmoja mstaafu. Yule mama alikiri hakuwahi kupata mpangaji kama mimi.
1. Kodi alitaka nilipe kwa miezi mitatu lakini nilikuwa namlipa kwa mwaka mzima.
2. Mara nyingi nilikuwa nalipa kodi kabla haijaisha. Nikishapata hela isiyo kwenye bajeti naanza kupunguza kodi.
3. Shida ndogo ndogo kama marekebisho ya maji, umeme, milango nilikuwa namaliza mwenyewe. Nyumba ilikuwa inavutia mazingira ya nje. Nilipanda maua na kupaweka katika hali nzuri.
Sasa nashangazwa na wapangaji wengine.
1. Kodi imeisha anajifanya kama hajui, eti mpaka umtafute. Kama hana kodi amepungukiwa si anatakiwa kujisalimisha ili mwenye nyumba awe informed?
2. Nyumba chafu majani yamejaa. Unajiuliza huyu haoni aibu? Au anataka unataka mwenye nyumba aje akulimie majani.
Najiuliza kwa nini wapangaji wengine hawapo kama nilivyokuwa mimi?
Uttoh umeongea kwa busara ya hali ya juu.Ujaongelea usafi peke yake, umeongelea kulipa mwaka mzima etc, andiko lazo zuri, ila lina element ya kiburi.
Kuna watu wema wengi sana ila wanapitia wakati mgumu sana, hawawezi kuwa kama wewe kwa sababu hawana fursa.
Na wewe ulivyo ni vyema, ila ni kwa sababu una afya ambayo amekupa Mungu, ungekuwa huna pengine usingewe, kuwa ulivyo.
Siku zote ukiongelea mafanikio, kwanza mshukuru Mungu, then endelea na mengine, nafikiri bado u mdogo ki umri, haya maisha hayana adabu.
Kuna jamaa alikuwa kijana wangu anaendesha lory la mchanga, nilimpenda sana, mstaarabu, analipa lodi kwa wakati etc, mtu mwema sana sana.
Siku moja alikuwa anashuka na lory Ngorongoro, akapata ajali, akaparalyse nusu, anahudumiwa na mke kila kitu, hata ngoma haisimami kabisa.
Kakaa ndani mda sana, akaanza uza vitu, baada ya mda sababu ya kukaa sana, akapata Kisukari, just imagine maisha yake.
Mshukuru Mungu ulivyo, ondoa neno kama mimi, nakupongeza, ila sio kwamba wote ambao hawako kama wewe ni wabaya.
Watanzania wengi tuliopitia msoto na uduni Wa Maisha Mara tu Mungu atubarikipo hua tunajenga vi elements vya kibri na dharau hasa kwa wale ambao muda Wa kubarikiwa haujafika na kuwaona wazembe, wavivu, wachafu, maskini,wajinga, mm binafsi siwezi kudharau hali ya kukosa kwa mtu kiss mm ninacho abadani hasilani.Ujaongelea usafi peke yake, umeongelea kulipa mwaka mzima etc, andiko lazo zuri, ila lina element ya kiburi.