Natamani kila mpangaji angekuwa kama nilivyokuwa mimi

Kwa nini yeye asiseme hiyo shida, ana wajibu wa kufanya hivyo, kama hawezi alipe kodi. Kukaa kimya maana yake kiburi. Kwa post zako inaonyesha wewe ni mpangaji pasua kichwa
Aina hii ya mpangaji ni kumpiga notisi tu arudi nyumbani kwa mama yake!!
 
Umeongea pointi sana
 
Hata mimi nitapewa maua yangu nikihama hapa ninapoishi... Alafu hiyo ni tabia ambayo wala sio ya kujifunza bali ipogo automatic tu. Sisi ni watu fulani tunaochukuliwa kama tunaojitambua sana na tupogo wachache, Waweza kupata watu wawili kwenye mtaa mzima.
 
Nimeipenda sana hii
Natamani watu fulani wangeiona hii post maana inawahusu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…