Natamani kuachana na huyu mama watoto wangu lakini amekataa

Natamani kuachana na huyu mama watoto wangu lakini amekataa

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Ameniahidi hata nimpige nimuue haondoki hata nifanyeje

Sababu za kumuacha ni upendo umepungua kwetu sote. Hivo ndani kila siku ni fujo tu nikatafuta wa nje nikazaa nae ila yeye wala hawazi ameniambia tu niwe natumia kinga.

Sasa nishamfanyia visanga kibao tu ila hata ameniambia nikihama niende kupangisha kwingine ananifuata huku huko.

Haiishagi wiki bila kugomabana mm nishajikatiaga tamaa kabisa kwake maana naona imekuwa naishi kinyume na nilivotarajia kwenye maisha ya mahusiano.

Je, Ndiyo ndoa zilivo kwa wengi ama ni kwetu wacgache tu.
 
Mwenyewe tu bado unampenda na huwezi mwacha.
Umefanya visanga kibao ndo vipoje!
Tukio moja tu mtu anainuka mwenyewe wewe unasema umefanya kibao!
Sema nini mkeo unamridhisha kitandani ama chakula ndo maana kakuganda boresha penzi uenjoy maisha acha wehu wa kuchezea watoto wa wanaume wenzio.
 
Ameniahidi hata nimpige nimuue haondoki hata nifanyeje

sababu za kumuacha ni upendo umepungua kwetu sote. Hivo ndani kila siku ni fujo tu nikatafuta wa nje nikazaa nae ila yeye wala hawazi ameniambia tu niwe natumia kinga.

Sasa nishamfanyia visanga kibao tu ila hata ameniambia nikihama niende kupangisha kwingine ananifuata huku huko.

Haiishagi wiki bila kugomabana mm nishajikatiaga tamaa kabisa kwake maana naona imekuwa naishi kinyume na nilivotarajia kwenye maisha ya mahusiano.

Je? Ndiyo ndoa zilivo kwa wengi ama ni kwetu wacgache tu.
Umeoa mpare?
 
Upo na mda gani kwenye ndoa?
Nyie wawili mna umri gani?

Kuwa makini, anakutafutia angle, ukijaa utaumia wewe nakuambia.

Do not take women lightly, wapo very smart kwa namna wanavyofanya mambo yao. Ndio maana unaambiwa uishi nao kwa akili.
 
Kumbe wewe ndo shida bas kama umeshindwa ishi na huyo mwanamke anayekuvumilia maujinga yako hutokuja pata mwingine utaishia kupata ukimwi na hapo ndo utaelewa Dunia ilivo
 
Back
Top Bottom