Natamani kuachana na huyu mama watoto wangu lakini amekataa

Natamani kuachana na huyu mama watoto wangu lakini amekataa

Usiachane na mke wako, Achana na uvulana ebu kuwa mwanaume
 
Mtie mimba mdogo ake au dadaake kama unataka akuache
 
Wanaume bhana, mkisha wachezea mabinti wa watu na kuwachoka, mnaanza visa vyenu,
Mtakuja kurogwq vibaya nyie! Hayaa.
 
Ameniahidi hata nimpige nimuue haondoki hata nifanyeje

Sababu za kumuacha ni upendo umepungua kwetu sote. Hivo ndani kila siku ni fujo tu nikatafuta wa nje nikazaa nae ila yeye wala hawazi ameniambia tu niwe natumia kinga.

Sasa nishamfanyia visanga kibao tu ila hata ameniambia nikihama niende kupangisha kwingine ananifuata huku huko.

Haiishagi wiki bila kugomabana mm nishajikatiaga tamaa kabisa kwake maana naona imekuwa naishi kinyume na nilivotarajia kwenye maisha ya mahusiano.

Je, Ndiyo ndoa zilivo kwa wengi ama ni kwetu wacgache tu.
Chai
 
Back
Top Bottom