Natamani kubeba mimba niwe mwanaume wa kwanza Afrika

Wacha upuuzi, acha watu waongee ili mradi wasivunje sheria, freedom of speech
MWONGOZO WA USHIRIKI KATIKA MIJADALA YA JAMIIFORUMS
Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:
1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.
2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.
3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi, uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.
4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.
5. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.
6. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.
7. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.
8. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.
Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.

Katika Uzi huu ulioletwa na huyo jikedume basi tambua kuwa amekiuka sheria namba 2 na 3 za jf zinazohusu mijadala ya humu. Jifunze kitu kabla hujatetea nje ya hapo nawe ni chakula tu.
 
Lakini namna ya kupata mimba ni ngumu!
 
You are allowing your mind to roam too far.

And in the process you are losing it.

Kuna mambo ama mawazo sisi wanawake tukiwa nayo tutakuwa dismissed tu kama silly women, or silly thoughts ama watuache tu because we are just women.

Lakini kwa mwanamme haileti picha nzuri.
 
kwa namna hii hata mtume nae lazma ashuke kutoa sapot hata kama hakuahd
 
Kwani na wewe pia ni mwanaume?
 
Mbona sioni mahali mleta thread alipo vunja sheria? Ndiyo maana thread yake ipo hadi sasa hivi...

Kubali kuaccept challenge usitake kila mtu afanane mawazo na yako..


8.Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi
yaliyotajwa hapo juu
yanazingatiwa. Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule
atakaye shindwa kuzingatia maelezo hayo hapo
 
Eeeeeeeehhhh Mungu naomba watoto wangu wakiume wasiwe na haya
 
Mods walitakiwa kuzifuta nyuzi kama hizi na za usagaji,,,,lakini nashangaa wanafuta zingine na kuziacha hizi
 
Ni hiv simply una ask kubadilishwa jinsia kuwa mwanamke.. unacho kihitaji ni bonge la laana
 
Kuna watu wanatoaga mada zao muhimu tu zinafutwa, alaf mada kama hii inabaki wakat imevunja miiko na desturi kwa jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…