Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MWONGOZO WA USHIRIKI KATIKA MIJADALA YA JAMIIFORUMSWacha upuuzi, acha watu waongee ili mradi wasivunje sheria, freedom of speech
Uhuru wa kweli wa kuongea ni ule uhuru wenye mipaka.Wacha upuuzi, acha watu waongee ili mradi wasivunje sheria, freedom of speech
Lakini namna ya kupata mimba ni ngumu!NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.
pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
Nakuzimia kritika nataka nikuoe.
Miaka 9 bila sex
Tohara ilivyonisababishia kilema
Maombi maombi maombi tu
Mkuu umeniwahi aiseee nilitaka niweke hayo uliyoweka
Kwani na wewe pia ni mwanaume?NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.
pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
Mbona sioni mahali mleta thread alipo vunja sheria? Ndiyo maana thread yake ipo hadi sasa hivi...MWONGOZO WA USHIRIKI KATIKA MIJADALA YA JAMIIFORUMS
Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:
1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.
2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.
3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi, uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.
4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili)
Eeeeeeeehhhh Mungu naomba watoto wangu wakiume wasiwe na hayaNImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.
pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
Ni hiv simply una ask kubadilishwa jinsia kuwa mwanamke.. unacho kihitaji ni bonge la laanaNImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.
pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha moyoni na machoni, nimefikia hatua nami kutaman nibebe mimba kama wao. moyo unanisukuma kufanya hivyo ili pia nivunje rekodi ya africa, nabado napambana ili siku moja nilete kiumbe duniani.
Natamani mimi ndio niwe baba wa mtoto