Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

Tausi unaruhusiwa kwa kibali maalum, japo ni nyara za serikali akiwemo kobe.

Usiogope nenda ofisi za maliasili na utalii watakupa muongozo.
 
Wakati naishi msamala pale ilikua haipiti wiki bila kukutana na Kobe njiani.
 
Tausi Muulize Ridhiwan kama wake walizaa,Ila sidhan Kama unaruhusiwa kufuga.

Kobe Maporini wapo wengi tuu.
 
Unataka jela
 
Kwa upande wa tausi Sijui utampata vipi?
Ila kuhusu Kobe wanapatikana
Mwenyewe ninaona wawili
Kasa kobe wamajini na Kobe wa aridhini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…