Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

Tausi unaruhusiwa kwa kibali maalum, japo ni nyara za serikali akiwemo kobe.

Usiogope nenda ofisi za maliasili na utalii watakupa muongozo.
 
Wakati naishi msamala pale ilikua haipiti wiki bila kukutana na Kobe njiani.
 
Tausi Muulize Ridhiwan kama wake walizaa,Ila sidhan Kama unaruhusiwa kufuga.

Kobe Maporini wapo wengi tuu.
 
Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapa tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
Unataka jela
 
Kwa upande wa tausi Sijui utampata vipi?
Ila kuhusu Kobe wanapatikana
Mwenyewe ninaona wawili
Kasa kobe wamajini na Kobe wa aridhini
 
Back
Top Bottom