- Thread starter
- #21
Poa hata USA ni balaaaWHO ni shirika la Umoja wa Mataifa, ambalo hata watumishi wake sio rahisi kushitakiwa kwa sababu wanakuwa na kinga ya kidiplomasia. Sasa kama unafikiri unaweza kuushitaki Umoja wa Mataifa endelea.
Kuna siku utataka kumshitaki balozi wa USA nchini.
Sikiliza hapa then chagua kuchanja au hapana
Bonyeza tu:
VACCINATIONS AS A ...
6 days ago — House Bill 4471 PROHIBITS VACCINATIONS AS A CONDITION OF EMPLOYMENT