Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Hawa Act Wazalendo wana harufu ya udini. Halafu kama vile hakuna Demokrasia zaidi ya ujuaji wa kiongozi wao wa Chama nasita kuhamia.
CHADEMA walikuwa vizuri enzi za Dkt. Slaa na niliwakubali sana.
Sasa hivi wanatia mashaka kuhamia.
CUF.
Nihamie chama gani? Naombeni msaada wenu.
CHADEMA walikuwa vizuri enzi za Dkt. Slaa na niliwakubali sana.
Sasa hivi wanatia mashaka kuhamia.
CUF.
Nihamie chama gani? Naombeni msaada wenu.