UsalitiHawa Act wazalendo wanaharufu ya udini. Alafu kama vile hakuna Demokrasia zaidi ya ujuaji wa kipngozi wao wa Chama nasita kuhamia.
Chadema walikuwa vizuri enzi za Dk Slaa. Na niliwakubali sana.
Sasa hivi wanatia mashaka kuhamia.
Cuf...
Nihamie chama gani? Naombeni msaada wenu.
Njoo umoja partyHawa Act wazalendo wanaharufu ya udini. Alafu kama vile hakuna Demokrasia zaidi ya ujuaji wa kipngozi wao wa Chama nasita kuhamia.
Chadema walikuwa vizuri enzi za Dk Slaa. Na niliwakubali sana.
Sasa hivi wanatia mashaka kuhamia.
Cuf...
Nihamie chama gani? Naombeni msaada wenu.
Umma party itakufaa wewe mataga.Hawa Act wazalendo wanaharufu ya udini. Alafu kama vile hakuna Demokrasia zaidi ya ujuaji wa kipngozi wao wa Chama nasita kuhamia.
Chadema walikuwa vizuri enzi za Dk Slaa. Na niliwakubali sana.
Sasa hivi wanatia mashaka kuhamia.
Cuf...
Nihamie chama gani? Naombeni msaada wenu.
Umetumia kigezo gani kuhitimisha act Wana udini ?..na chadema hawana udini?Hawa Act wazalendo wanaharufu ya udini. Alafu kama vile hakuna Demokrasia zaidi ya ujuaji wa kipngozi wao wa Chama nasita kuhamia.
Chadema walikuwa vizuri enzi za Dk Slaa. Na niliwakubali sana.
Sasa hivi wanatia mashaka kuhamia.
Cuf...
Nihamie chama gani? Naombeni msaada wenu.
Ulipojiunga CCM ulimwomba nani ushauri? Usituchoshe kwa unafiki wako.Hawa Act wazalendo wanaharufu ya udini. Alafu kama vile hakuna Demokrasia zaidi ya ujuaji wa kipngozi wao wa Chama nasita kuhamia.
Chadema walikuwa vizuri enzi za Dk Slaa. Na niliwakubali sana.
Sasa hivi wanatia mashaka kuhamia.
Cuf...
Nihamie chama gani? Naombeni msaada wenu.
CCM kina wenyewe. Kama huwajui muulize Bashiru.Acha kuwa mjinga
Usihame CCM nduguHawa Act Wazalendo wana harufu ya udini. Halafu kama vile hakuna Demokrasia zaidi ya ujuaji wa kiongozi wao wa Chama nasita kuhamia.
CHADEMA walikuwa vizuri enzi za Dkt. Slaa na niliwakubali sana.
Sasa hivi wanatia mashaka kuhamia.
CUF.
Nihamie chama gani? Naombeni msaada wenu.