Natamani kuhama CCM, kipi chama makini kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA?

SUKUMA GANG kina kufaa sana
 
haya mavyama yaliishatuchelewesha sana ni wakati sasa wa kubadilika na kufuata sera za wakenya wao huchagua mtu na sera si mavyama ya kipuuzi haya.
 
tuambie sababu ya kuhama CCM ili tuone ni chama gani tutakushauri uhamie!!!
 
anzisha chako na Dr. slaa
 
Hamia Chadema ili na wewe uwe Kamanda kama uvccm mwenzako johnthebaptist.
 
bakia CCM ksma auwezi ni bola usiwe na chama kabisa.
 
Unasema ACT hakuna Demokrasia wapi ipo hiyo Demokrasia ? CCM au?
 
Mkuu, zimwi likujualo halikuli likakwisha. Kuwa mvumilivu ndani ya chama chako, ikiwezekana jiunge na jitihada za wapenda mabadiliko ndani ya chama chako ili nawe uwe sehemu ya mchakato wa mabadiliko unayoyahitaji.

Natambua ukifanya uamuzi wa pupa hivi sasa na ukahamia chama chochote kile cha upinzani, muda si mrefu ujutia uamuzi huo na kuamua kurudi ulikotoka. Hapo utarudi tena zizini ukiwa umekatwa mkia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…