Natamani kuhama CCM, kipi chama makini kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA?

Umoja
Umoja party 😬😬
 

CCM is YOUR rightful place. Nje ya CCM hakuna chama kingine Tanzania kinachowiana na vision yako mkuu. Komaa humohumo tu; kwingineko utaambulia frustrations kibao kama kina selasini na kuishia kujaza nyuzi za kuponda upinzani na wapinga legacy hapa JF.
 
Kwakuwa umejipendekezea vyama na umetoa kasoro ya vyama hivyo na hujasema unakotoka kunatatizo gani pengine ningeshauri ubaki bila chama
 

Kutokana na sababu ulizozitoa, nakushauri ukae tu bila chama hadi pale ambapo moyo wako utafunguka na kuona ni chama gani kitakufaa
 
Kwa hivyo viwili bora uende ACT wanaonekana wapo serious na wanachofanya na wana siasa safi
Pia ACT saizi inajenga sana vijana wake

Chadema bado kinabakia kuwa chama cha wanaharakati tu na pia demokrasia ndani ya CHADEMA ni tatizo jingine
Hakuna demokrasia ndani ya CHADEMA

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Acha unafiki ww! Nenda Umoja party
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…