Natamani kuipinga Taarifa ya awali juu ya sababu za kudondoka kwa lift ya Millenium Tower

Poleni sana wakazi wa Dar na wahanga wa ajali, nimeona kwenye mitandao hii habari nikatamani kujua vingi, na ningekuwa Dar ningefika hata eneo la tukio for physical observation.

Nimeona Mtu kutoka jeshi la Zimamoto na Uokoaji akisema kuwa Sababu kuu za kudondoka kwa lift ya jengo la Millenium Tower ni wingi wa watu. BADO KICHWA CHANGU HAKIJAAFIKI. Na hoja ni hizi:

1. Limitation ya Lift haipo kwenye idadi ya watu, ila ipo kwenye uzito. Idadi ya watu huwekwa tu kama makadirio kwamba kila mtu anaweza kuwa na uzito wa wastani kilo 75. Hivyo ikiwa limit ni kilo 750 itaandikwa ni watu 10 kwa maana ya 75 x 10. Sasa Jeshi limehakikisha vipi kuwa idadi ya watu iliyokuwepo imezidi limitation ya uzito?

2. Mechanism ya Lift ilivyo, uzito ukizidi huwa inatoa notification na haiendi, sasa iliendaje? Je haikutoa hata notification? Jeshi hakukuwa na any notification au lift kugoma kufanya kazi? Na kwanini ishuke kama jiwe?

Ifike wakati nadharia zetu ziwe zinachanganua mambo vizuri ili tujue tatizo ni nini, kulikubali tatizo kwa nadharia tu haiwezi kusaidia kuepuka majanga. Lazima tuzishughulishe akili zetu zifanye kazi kitaalamu na tuwe na Majibu ya kitaalamu. SIo yale yatakayokubalika na jamii kwa haraka.

idadi ya watu kuzidi/uzito kuzidi jambo dogo sana kwenye lift kuanguka.

Tunaomba majibu sahihi ili na sehemu zingine waweze kuchukua tahadhari.
Kaka unaelekea kua mwehu hii nchi ukiifwatilia kama unavyofanya utawehuka bila mlipo ulivyo sema ni sahihi kabisa na hujasema vyote ila kwa ulivyo vitaja hapo vinatosha kuwaelewesha watu wenye uelewa.

Lifti ikizidiwa uzito haiwezi kunyanyuka ina overload protection inawezekanaje hata inveter ya 30k ikawa na overload protection halafu lifti isiwepo?

Lifti ina speed limit controll lifti haiwezi kupanda kama jiwe limechomoka kwenye manati pia haiwezi kushuka kama kama jiwe lifti ina mfumo aina 2 ina software conrtoll na machanism contoll

Kwa hilo jambo wapo vishoka wamechokonoa humo wameharibu kila kitu imekua kama winch hata ikiwekewa mzigo mzito itajikongoja hivyohivyo kwasababu ishachokonolowa hata uzito haiisi tena spidi haiisi tena ni inafwata amri ya software tu hata vifaa vinavyotumika kupandishana kushusha vimewekwa kulingana na uzito.

Pia hata matengenezo hamna kabiza tutarajie mengi zaidi

Ivi hujawai ona gari ya tani 5 ikabeka tani 7 au 10 sasa tairi,spring ,brek niza tani 5 hapo kinachotokea ni nini?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Watanzania tunapendaga na kuendekeza sana anasa. Sasa lifti ya nini? Yani unakuta ghorofa ya kumi na nne hadi 20 huko eti watu wanatumia lifti. Unabaki tu kujiuliza are we really serious with our wellbeing [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Kama unavyojua huku kwetu hivi vitu ni adimu sasa hua tunatamani sana kupanda humo wala hatujali usama nikama watoto wa kijijini kuwekewa pilau na kuku yenye sumu watakufa wengi kaka

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Poleni sana wakazi wa Dar na wahanga wa ajali, nimeona kwenye mitandao hii habari nikatamani kujua vingi, na ningekuwa Dar ningefika hata eneo la tukio for physical observation.

Nimeona Mtu kutoka jeshi la Zimamoto na Uokoaji akisema kuwa Sababu kuu za kudondoka kwa lift ya jengo la Millenium Tower ni wingi wa watu. BADO KICHWA CHANGU HAKIJAAFIKI. Na hoja ni hizi:

1. Limitation ya Lift haipo kwenye idadi ya watu, ila ipo kwenye uzito. Idadi ya watu huwekwa tu kama makadirio kwamba kila mtu anaweza kuwa na uzito wa wastani kilo 75. Hivyo ikiwa limit ni kilo 750 itaandikwa ni watu 10 kwa maana ya 75 x 10. Sasa Jeshi limehakikisha vipi kuwa idadi ya watu iliyokuwepo imezidi limitation ya uzito?

2. Mechanism ya Lift ilivyo, uzito ukizidi huwa inatoa notification na haiendi, sasa iliendaje? Je haikutoa hata notification? Jeshi hakukuwa na any notification au lift kugoma kufanya kazi? Na kwanini ishuke kama jiwe?

Ifike wakati nadharia zetu ziwe zinachanganua mambo vizuri ili tujue tatizo ni nini, kulikubali tatizo kwa nadharia tu haiwezi kusaidia kuepuka majanga. Lazima tuzishughulishe akili zetu zifanye kazi kitaalamu na tuwe na Majibu ya kitaalamu. SIo yale yatakayokubalika na jamii kwa haraka.

idadi ya watu kuzidi/uzito kuzidi jambo dogo sana kwenye lift kuanguka.

Tunaomba majibu sahihi ili na sehemu zingine waweze kuchukua tahadhari.
Msemaji mwenyewe hajui kuongea
 
Uliza walosoma UDSM na kuwa wakazi wa hall 2 & 5 lift zilikuwa zinabebaa abiria wengi 24hrs
 
Umeelezea kitaalamu afande kaelezea kisiasa
 
Nakubaliana na maoni yako kabisa. Mara nyingi hawa jamaa wanatoa sababu za kushangaza ili kuonekanabeanaijua kazi yao. Hawajaekeza idadi ya watu waliokuwemo kwenye lift wakati inadondoka toka juu. Hilo la lift kuwa kwenye matengenezo laweza kuwa na mashiko zaidi kuliko hili la uzito. Sasa tusubiri ya moto wa Jambo pale Vingunguti watakavyojikanyaga.
 
Kuna siku lift ya hospitali ya kcmc kidogo initoe roho. Mpaka kiherehere cha kumsafiria mgonjwa kiliniisha. Lift ni nzuri ila kuna muda zinaogopesha
 
1.mgomo kariakoo-Dar
2.Lifti imeua -Dar
3.Membe kafariki-Dar
4.-lemutuz kafarik i-Dar
5.jamaa kajirusha ghorofani na kufa-Dar

Ongezea!

Kuna mfano wa trend za matukio ya Dar,je tunaikuza Dodoma!!?au kuna correlation ya events!!

Je events ni natural au man made!!?

Tu digest hizi content utaona kweli tumehamia Dodoma!!
 
Poleni sana wakazi wa Dar na wahanga wa ajali, nimeona kwenye mitandao hii habari nikatamani kujua vingi, na ningekuwa Dar ningefika hata eneo la tukio for physical observation.

Nimeona Mtu kutoka jeshi la Zimamoto na Uokoaji akisema kuwa Sababu kuu za kudondoka kwa lift ya jengo la Millenium Tower ni wingi wa watu. BADO KICHWA CHANGU HAKIJAAFIKI. Na hoja ni hizi:

1. Limitation ya Lift haipo kwenye idadi ya watu, ila ipo kwenye uzito. Idadi ya watu huwekwa tu kama makadirio kwamba kila mtu anaweza kuwa na uzito wa wastani kilo 75. Hivyo ikiwa limit ni kilo 750 itaandikwa ni watu 10 kwa maana ya 75 x 10. Sasa Jeshi limehakikisha vipi kuwa idadi ya watu iliyokuwepo imezidi limitation ya uzito?

2. Mechanism ya Lift ilivyo, uzito ukizidi huwa inatoa notification na haiendi, sasa iliendaje? Je haikutoa hata notification? Jeshi hakukuwa na any notification au lift kugoma kufanya kazi? Na kwanini ishuke kama jiwe?

Ifike wakati nadharia zetu ziwe zinachanganua mambo vizuri ili tujue tatizo ni nini, kulikubali tatizo kwa nadharia tu haiwezi kusaidia kuepuka majanga. Lazima tuzishughulishe akili zetu zifanye kazi kitaalamu na tuwe na Majibu ya kitaalamu. SIo yale yatakayokubalika na jamii kwa haraka.

idadi ya watu kuzidi/uzito kuzidi jambo dogo sana kwenye lift kuanguka.

Tunaomba majibu sahihi ili na sehemu zingine waweze kuchukua tahadhari.
Mungu anaikandakanda serikali kwa style ya kipekee sana
 
Hii inaitwa funika kombe mwanaharamu apite! Ifike mahali mwenye jengo ashotakiwe!
 
Back
Top Bottom