Lachine
JF-Expert Member
- Nov 10, 2020
- 226
- 307
Haya ndio matatizo ya viongozi wa Idara za Serikali. Kwa wenzetu hapo alitakiwa kusema kwamba bado tunafanya uchunguzi wa kitaalamu kujua chanzo cha ajali ni nini. Taarifa zitatolewa baadae. Nadhani angeeleweka vizuri kuliko kutoa sababu zisizokuwa na kichwa wala miguu.
Technology zote huwa na limitation. Accidents do occur hata kwenye vitu vinavyotengenezwa na watu mahiri na walio bobea. Haya majibu ya tit for tat kwenye ajali za kiufundi kama hizi, ambazo hawana utaalamu nazo, yanavunja heshma ya kikosi kizima cha jeshi la Zimamoto.