Natamani kuipinga Taarifa ya awali juu ya sababu za kudondoka kwa lift ya Millenium Tower

Haya ndio matatizo ya viongozi wa Idara za Serikali. Kwa wenzetu hapo alitakiwa kusema kwamba bado tunafanya uchunguzi wa kitaalamu kujua chanzo cha ajali ni nini. Taarifa zitatolewa baadae. Nadhani angeeleweka vizuri kuliko kutoa sababu zisizokuwa na kichwa wala miguu.

Technology zote huwa na limitation. Accidents do occur hata kwenye vitu vinavyotengenezwa na watu mahiri na walio bobea. Haya majibu ya tit for tat kwenye ajali za kiufundi kama hizi, ambazo hawana utaalamu nazo, yanavunja heshma ya kikosi kizima cha jeshi la Zimamoto.
 
Aise! Ghorofa 14 sio makalio aise.....hivi umewahi kujaribu kupanda hata flow 10 tu?
Na ukitaka kujua kama unaumwa au huumwi siku jaribu kukwea floor 10 na ngaz jibu utalipata ka unahitaj medical check up ama vipi? [emoji16]
 
Naafikiana na hoja.
Watu 10 ni wachache mno kwa lifti kuporomoka.
Inaelekea waliofanya ukarabati hivi karibuni hawakurudishia vifaa sehemu sahihi, yaani ulipuaji wa kazi.
 
Za miaka mingi mno.
Yaani saanaa..!! Hata majengo ya hall 5 na hall 2..!! Pale hall 2 vizege huwa vinameguka na kudondoka chini..!! Yaani pale tunasubiria tu siku moja lishuke na watu..!! Nadhani ni ya miaka ya 196.... hukoo.
 
Lift za pale ndio sio za kuziamini. Mfano kama za COSS sijawahi kuziona zikiwa nzima mwezi 1 mfululizo.
Huko COSS si ni mpya kabisa..!! Maana wakati namaliza pale hayo majengo hayakuwep..!! Hall 5 na hall 2 ni hatari kabisa..!! Pale mtu/watu watakufa muda wowote..! si kwa lifti tu, bali hata majengo yenyewe..!!
 
Huko COSS si ni mpya kabisa..!! Maana wakati namaliza pale hayo majengo hayakuwep..!! Hall 5 na hall 2 ni hatari kabisa..!! Pale mtu/watu watakufa muda wowote..! si kwa lifti tu, bali hata majengo yenyewe..!!
Yale majengo mimi mwenyewe huwa nayaangalia kwa jicho tofauti. Naonaga kama hakuna uwiano mzuri wa Upana na urefu. Kwa vile sina elimu ya uhandisi inanilazimu niyapuuze mawazo yangu.
Kuna jengo lingine lipo Kinondoni pale mkabala na OPEN University, na lenyewe ukiliangalia upana wake unakuta kama halikustahili kuwa refu vile. Ila ni mambo ya wahandisi haya.
 
Huyu kilaza sana, body language inamsuta.
 
Huko COSS si ni mpya kabisa..!! Maana wakati namaliza pale hayo majengo hayakuwep..!! Hall 5 na hall 2 ni hatari kabisa..!! Pale mtu/watu watakufa muda wowote..! si kwa lifti tu, bali hata majengo yenyewe..!!
COSS ndo FASS enzi zile?
 
Sema nini, wakati mwingine upana, urefu na na kina vinauwawa na ratio za simenti, mchanga, kokoto, nondo na maji..!!
 
We jamaa umeishia la ngapi?
 
Huyo mtoa taarifa sasa! Ni aibu hajui hata anachoongea!
 
Hapa kuna mtu anatakiwa kuwajibishwa. Kwani
1-Lifti,escalator au hoist au boiler zinatakiwa kukaguliwa kila baada ya miezi 6 na Serikali au wakala wake.
2-Kampuni inafanya service ya hiyo lifti utendaji wake.
3-Kampuni inayomanage hiyo jengo na umakini wake.
4- Mwenye jengo kuhakisha anatekeleza vipi kanuni za umiliki wa hiyo jengo kwa matumizi usalama
 
Msemaji ndio haieleweki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…