Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

Tukiachana na watu kujaa tunaomba taarifa ya msingi burudani ikoje na hao vijana wa WCB washapanda,kama ishu ni watu leo kote kumejaa hata disco vumbi uku hakuna sehemu ya kusogeza mguu.
 
Kitu kimoja wazi leo nikuwa hakuna msanii yoyote Tz akajaza ukumbi peke yake bila kushirikisha wengine mpaka wavaa vichupi. Safari ndefu bado.
 
Nifah huwa akili zako sizielewi kabsa..!! IQ yako ndogo sana. Sijui huna exposure, na bora uwe demu kama ni msela basi unahasara sana.
 
My country Tanzania. Tunachangamoto sana. Yaani siye furaha yetu MTU aharibikiwe au akose. Eti imebuma. Hongera diamond kujaza watu zaidi ya elfu kumi kwa 30, na kilo 1 siyo masihara...
Najua watani zenu upande wa pili watakuwa wamezima simu.
 
Nifah huwa akili zako sizielewi kabsa..!! IQ yako ndogo sana. Sijui huna exposure, na bora uwe demu kama ni msela basi unahasara sana.
Akili zangu unataka uzielewe wewe kama nani?Zikusaidie nini?
IQ yangu ikiwa ndogo wewe una hasara gani?
Sawa sina exposure, wewe inakuhusu nini?

Mimi ambaye akili zangu huzielewi,IQ ndogo,sina exposure unanifuatilia...huoni kama wewe ndio hujielewi,IQ ndogo na huna exposure kwa kumfuatilia unayesema ana IQ ndogo?
Ungekuwa na akili kubwa ungejali kuhusu mtu usiyemjua?
Idiot
 
My country Tanzania. Tunachangamoto sana. Yaani siye furaha yetu MTU aharibikiwe au akose. Eti imebuma. Hongera diamond kujaza watu zaidi ya elfu kumi kwa 30, na kilo 1 siyo masihara...
Najua watani zenu upande wa pili watakuwa wamezima simu.
Watanzania sisi ni watu wa ajabu ogopa sana, ndio maana diamond magazeti yameandika weee kua anguko la diamond, lakini dogo hashuki, nazani wenye roho mbaya wanaona anachelewa kushuka, ili baadae watumie kama rejeo kuwatisha wengine wenye mafanikio, waseme alikuwepo diamond
 
kidoti leo kiba kapiga mangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…