Natamani kujua kinachoendelea Jangwani Sea Breeze

wewe mwanamke unaeitwa niffah....

unaonekana unampenda sana Diamond Sio kwa kumfuatilia huko..

Ninauhakika hata mpenzi wako akijua jinsi unavyompenda huyo Diamond.. atajickia wivu maana Simba kashaingilia mapenzi tayari..

anyways..

Ushabiki ni uhuru wako ila kwa post zako huo uhuru umekufanya uwe Mnafiki maana sio kwa kumponda huku Diamond na wakati huo huo post zako zinaonesha ni wazi tu Umeshazimika kwa Baba Tiffah..

Ila nakusifu kwa mapenzi unayoyaonesha
Wewe ni shabiki wa kweli wa Chibu Di Chibu De.
 
Oya vipi ile gari waliosema wataichoma ilichomwa kweli huko?!
 
Hili povu likipimwa linajaza beseni.

Mlisema mtachoma gari moto vipi mlifanikisha?!
 

aah mdau unafika mbali sasa hahahahhah

Nifah is my girl, as in mpenzi wangu.. alafu ni vile tu labda wewe ni mgeni humu au humjui vizuri Nifah

sio kwamba anamchukia chibu but lazima tutunishiane misuli just like simba na yanga.. but hakuna kuchukiana or kuchukia wasanii..

thats why unaona mimi mwenyewe mdau mkubwa wa WCB na yeye mdau mkubwa wa Kiba but tuko madly in luv..
 
Show ilikosa watu, siku nyingine wajipange na kuwe na kiingilio cha kawaida.
 
The bold hii akaunt wa merge au ndo umeamua kuweka avatar ya Nifah
 
Kama nimekukera pole Nifah. But jitahidi kuwa na high reason capacity..juzi nilishauri kuwe na vetting ya memba humu. Ushabiki na chuki usikufanye ukawe kituko kabsa.
Hujanikera,mambo ya kawaida haya.
Tunapashana ubongo maisha yanaendelea.
Uwe na weekend njema.
Peace [emoji111]
 

Watu wanashindwa kuelewa hizi ligi tunafanya for fun na sio vinginevyo.

Hivi bila sisi kuwachangamsha jana huu uzi si ungepoa?
Tunapeana vijembe/madongo nanyi mnatokwa povu and vice versa then we call it a day.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
acha taarabu ww mi nasema ukweli najua kazi ya uphotographer and also videographer so kaa kmya cjasema ka edit kitu ila ujajua namna upigaji wa picha ww rudi shule 4m 3 kasome
 
My country Tanzania. Tunachangamoto sana. Yaani siye furaha yetu MTU aharibikiwe au akose. Eti imebuma. Hongera diamond kujaza watu zaidi ya elfu kumi kwa 30, na kilo 1 siyo masihara...
Najua watani zenu upande wa pili watakuwa wamezima simu.
Watu kama Nifa na Daudi Mchambuzi sawa na wakazi wa Giningi
 
Nasikia kiba alikuwa na show club flani uko Dom cjui iliendaje maana hapendagi show off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…