mwarabu wa dubai
JF-Expert Member
- Nov 29, 2015
- 317
- 307
Live aachiwe king kiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili povu likipimwa linajaza beseni.wewe mwanamke unaeitwa niffah....
unaonekana unampenda sana Diamond Sio kwa kumfuatilia hivyo..
Ninauhakika hata mpenzi wako akijua jinsi unavyompenda huyo Diamond.. atahisi atajickia wivu maana Simba kashaingilia mapenzi tayari..
anyways..
Ushabiki ni uhuru wako ila kwa post zako huo uhuru umekufanya uwe Mnafiki maana sio kwa kumponda huku Diamond na wakati huo post zako zinaonesha ni wazi tu Umeshazimika kwa Baba Tiffah..
Ila nakusifu kwa mapenzi unayoyaonesha
Wewe ni shabiki wa kweli wa Chibu Di Chibu De.
wewe mwanamke unaeitwa niffah....

Duh,penzi limekomaa mpaka kila mmoja kaweka picha ya mwenzie.Jamani vepeeee huko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
duuuuuDuh,penzi limekomaa mpaka kila mmoja kaweka picha ya mwenzie.
The bold hii akaunt wa merge au ndo umeamua kuweka avatar ya Nifahaah mdau unafika mbali sasa hahahahhah
Nifah is my girl, as in mpenzi wangu.. alafu ni vile tu labda wewe ni mgeni humu au humjui vizuri Nifah
sio kwamba anamchukia chibu but lazima tutunishiane misuli just like simba na yanga.. but hakuna kuchukiana or kuchukia wasanii..
thats why unaona mimi mwenyewe mdau mkubwa wa WCB na yeye mdau mkubwa wa Kiba but tuko madly in luv..
Hahahahah! Hawajamerge mkuu..
Hujanikera,mambo ya kawaida haya.Kama nimekukera pole Nifah. But jitahidi kuwa na high reason capacity..juzi nilishauri kuwe na vetting ya memba humu. Ushabiki na chuki usikufanye ukawe kituko kabsa.
aah mdau unafika mbali sasa hahahahhah
Nifah is my girl, as in mpenzi wangu.. alafu ni vile tu labda wewe ni mgeni humu au humjui vizuri Nifah
sio kwamba anamchukia chibu but lazima tutunishiane misuli just like simba na yanga.. but hakuna kuchukiana or kuchukia wasanii..
thats why unaona mimi mwenyewe mdau mkubwa wa WCB na yeye mdau mkubwa wa Kiba but tuko madly in luv..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh,penzi limekomaa mpaka kila mmoja kaweka picha ya mwenzie.
mwelaNaona leo nshomile anakula za uso,ila Diamond nahisi alishakunja chake,mwanzo wa figisu huu.
PICHA 10: Kinachoendelea kutoka Wasafi Beach Party ya Diamond Platnumz - millardayo.com
ndo upumbavu wa watz mkuuWatu wengi humu wataendelea kukesha na kudiss vya watu wakati wenzao wanafanya na kuendelea mbele.....ROHO MBAYA HAIJENGI
acha taarabu ww mi nasema ukweli najua kazi ya uphotographer and also videographer so kaa kmya cjasema ka edit kitu ila ujajua namna upigaji wa picha ww rudi shule 4m 3 kasomeWewe hujui kitu ulichotegemea hakikuwa kama ulivyotaka au ulivyotarajia, ulikuwa unaomba asijaze mwenzio kajaza.
Roho za kimaskini imekujaa menzio kashaingia pesa
Unaanza kusingizia Camera hata ukiletewa video utasema kaedit
Ukishakuwa na roho mbaya huwezi kukubali mafanikio ya mwenzio
Punguza kujaza ujinga.[emoji23] [emoji23] ibume mara mbili??
Watu kama Nifa na Daudi Mchambuzi sawa na wakazi wa GiningiMy country Tanzania. Tunachangamoto sana. Yaani siye furaha yetu MTU aharibikiwe au akose. Eti imebuma. Hongera diamond kujaza watu zaidi ya elfu kumi kwa 30, na kilo 1 siyo masihara...
Najua watani zenu upande wa pili watakuwa wamezima simu.