Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa ni uthubutu, vijana wengibwasomi huwa wana ji attach na white collar jobs , ambazo kwa sasa chances za kuzipata no very slim to none!Habari za Muda huu wana JamiiForums.
Mimi ni kijana mjasiliamali kwa muda wa mika 10, kuna mambo huwa najiuliza kila siku nikiwa peke yangu sasa leo nimona ni changie na wana JamiiForums wenzangu.
Suala la Umasikini na Utajiri.
Kwanini vijana wengi hususani Wasomi ndio wanao hangaika sana kwenye masuala ya Uchumi, fedha na itajiri.
Utamkuta kijana mwenye umri wa miaka 28 hadi 39 ana shinda sana ya kifedha ili hali ni Msomi na ukute amesoma masomo ya Uchumi, Biashara lakini unamkuta anahangaika sana kifedha.
Pia, nikijaribu kuchunguza Vija wenye Rika kama hilo wasio wasomi naona wanamashi mazuri na wana endasha magari, wana nyumba zao na wanasomesha watoto wao shule nzuri.
Je, Shule zina sababisha vijana kuwa tengemezi kwenye suala la Utafutaji au au kuna tatizo gani?
Pia, kuna hii tabia ya Wasomi kupenda kufanya Biashara: Tatizo linakuja kwamba wasomi wengi wana taka kuanza bishara yenye mtaji mkubwa, utakuta kijana anakwambia nikipata milioni 10 naweza fanya biashara.
Naombini ufafanuzi kwanini wasomi wengi wanajikuta kwenye wimbi la umaskini kuliko walio ishia Darasa la Saba?
"JAMANI NIMEAMUA KUANDIKA TU"
"UTANI KWA WASOMI WENZANGU"
Darasa la Saba hapa Tz wengi wanaunga Sana maisha , Jambo la pili hapa Tz wazazi hawakuoneshi tundu la kutokea mfano Mimi nilivyo bahili naamini ningepata wazazi Makin ningekuwa mbali Sana kiuchumi .
Darasa la Saba hapa Tz wengi wanaunga Sana maisha , Jambo la pili hapa Tz wazazi hawakuoneshi tundu la kutokea mfano Mimi nilivyo bahili naamini ningepata wazazi Makin ningekuwa mbali Sana kiuchumi .
Hayo mengine hayakuhusu acha ukudaUnalipwaje wakati mi nimejiunga kawaida tu, sijaweka taarifa yako popote.!
Uganda ipi kuna mtoto wa jirani yangu kamaliza chuo huko yupo hapa anabeti tuKweli kabisa
Tuwaige Uganda kwa kuinclude somo la ujasiriamali katika mfumo wa elimu toka elimu ya awali hadi chuo
Aahaaaaa,ndo ujasiriamali huoUganda ipi kuna mtoto wa jirani yangu kamaliza chuo huko yupo hapa anabeti tu