Natamani kujua ushawishi wa kanisa katoliki katika utawala na usalama wa dunia

mimi binafsi naamini haujapungua.
kipindi cha papa Benedikto..labda kwa kiasi. He was conservative kiasi kwamba alirudisha system ya ibada ya zaman,
baada ya papa Francis kupata wadhifa wa Upapa.. nadhani ushawishi umerudi. kanisa kwa sasa linajitaidi kwenda na dunia,
mfano. Papa francis has nothing against the gays, he anasema as long as ni viumbe vya Mungu hana shida nao, pia karuhusu divorce kwa catholics(for some situations)
wote tunajua kua kanisa katoliki liko totally 100% against hivi vitu.
but all this is now allowed/ kufumbiwa jicho so as to maintain power.
Pia financially catholic church ina assets nyingi kuliko any organisation. ina mashirika ya mafatjer, masista, brudda, monks, ya kusaidia jamii, mashule, vyuo, mahoteli, mabank, research centres. you name it.,,.!!! my take is they are still the most powerful organisation in the world.
Civilisation started with the church. They will always be powerful
 
Nyie watu mmejaa uongo...... hizo elimu zenu mmesomea wapi? au ni hulka ya watZ kuwa wasemaji wa kila jambo..... hakuna mkuu wowote wa shirika lolote anayechaguliwa for life! ulizeni muelimishwe!
na wewe ukisoma utaelewa ivi vitu vipo!!
ata ngoyai alisema Elim Elim Elim.
hakumaanisha ya darasani tuu...... bali na ya dunia.
someni vitabu mjikomboe utumwani
 

Totally wrong!!!!

1. Hakuna mkuu wa kanisa katoliki wa nchi. Kuna mkuu wa kanisa katoliki duniani.
Kila askofu ni mkubwa ktk jimbo lake na anawajibika moja kwa moja kwa Baba Mt. Na askofu ndio mkubwa wa mapadre wote ktk jimbo husika. Pengo sio mkuu wa kanisa katoliki Tanzania.
2. Kama unataka kuongelea mkuu wa kanisa katoliki ktk nchi basi ni yule anayechaguliwa kuwa rais wa baraza la maaskofu ktk nchi husika. Na huchaguliwa kati ya wenzake. Mf. Tanzania Rais wa TEC ni Askofu Ngalalekumtwa.
3. Mwakilishi wa Baba Mt katika nchi husika ni Balozi wake.
4.Kardinali kazi yake kubwa ni kumchagua Baba Mt wakati wa uchaguzi na kuwa msaidizi wake karibu. Kuna makardinali wa majimbo kama huyu wetu na wale ambao wanaongoza wizara mbalimbali Vatican(Curia)
 
Kwa mawazo haya ina maana Russia kufanya Ukomunisti ndo ilikuwa kupingana na Mungu? Au labda mi ndo sijaelewa?
Kwa maana hiyo Ubepari ndo sera inayompendeza Mungu?
 
Tena ukiangalia sana Afrika ndo kuna watu weengi sana wanaenda makanisani kuliko hata huko kwa wazungu lakini utakuta Afrika ndo inao wachache sijui kwa nini? Nawaza tu wakuu sipo katika mabishano ya dini maana huwa siyapendi sana!
 
Sasa mkuu ukisema hivyo vipi kuhusu Ujerumani ambapo hata chama chao cha siasa kina muundo huo wa kidini?
 
Si kila nchi ina kardinali mfano Burundi na Rwanda pia kuna nchi zina makardinali zaidi ya 1 mfano Italy wakati wa uchaguzi wa pope walikuwa na makardinali 28
 
Sio kweli kwamba Kardinali ni mkuu wa kanisa ndani ya nchi husika bali ni mwakilishi wa Papa kwa eneo fulani linaweza kuwa hata nchi mbili ama zaidi!!
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] umemjibu vyema kabisa jamaa labda alikuwa hajui hayo,asante sana mkuu!!
 
Toa ushahidi unaoonsesha papa anasapoti ushoga?
 
Unabii gani pale ulikuwa unamaanisha??
 

Aisee wewe ulitaka kila jimbo liwe na cardinali mkuu?, kwanza kabisa ningependa ujue daraja muhimu katika kanisa ni Upadre ndiyo maana hakuna askofu au kadinali ambaye siyo padri, from upadre unaweza kuwa askofu, cadinali au hata pope. Kwa kazi na majukumu ya kadinali hakuna haja ya kuwa nao wengi kila jimbo ndiyo maana almost kila nchi ina kadinali moja. Utaratibu wa kumchagua pope kufanywa na kadinali tu inatokana na ukweli kwamba pope mara nyingi huwa miongoni mwa makadinali hao na hao wanaofanya uchaguzi wanatakuwa wanamfahamu vzr maana wanakutana kwenye vikao vyao. sasa padri au askofu atamchaguaje mtu ambaye hayuko familiar naye? umpeleke paroko wa Manzese akamchague pope wakati huenda hata hajawahi kuwaona wala kuwasikia hao wanaotakiwa kupigiwa kura?. Idadi ya makadinali kuwa wachache siyo issue maana dunia pia ina nchi chache na baadhi ya hizo nchi hazina ukatoliki kabisa sasa utamchagua shehe awe kardinali?. Nafasi ya kadinali ni moja kwa kila nchi sasa kila padri akiwa kadinali unadhani itakuwa rahisi, basi itabidi nafasi ya upadri utolewe na watu hao hao waitwe makadinali. Hebu jaribu kureason kidogo kwanini sisi kila waziri asiwe rais au kila mbunge kuwa waziri.
 
Asante kwa mawazo Mkuu ,umesema almost kila nchi ina Kadrinali ? Unajua Afrika wapo ma kadrinali wangapi mkuu ?
 
Kwanza neno ALMOST siyo ALL, Kuna vigezo wanatumia kuwa na cardinali siyo kila nchi iwe na cardinali. Africa kuna cardinals kama 19 au 20 na kwa taarifa yako SI nchi zote za afrika zina wakatoliki hasa kaskazini na magharibi mwa africa. Kwahiyo idadi kubwa ya makadinali wapo afrika kusini mwa jangwa la sahara.
 
Unataka kusema kila nchi ina papa mmoja,je unajua mfano Marekani ina Makadinali wangapi??
 
Usijidanganye, litaongoza tena dunia na kutawala vizuri kabisa. Ni suala la muda tu....
Alichokisema ni kweli, Roman itatawala dunia tena na kuwaua watu wa Mungu.
Mkuu kama unachukua mawazo yangu kweli nimedanganya,
Kama vip soma afu kausha, mmi mwenyewe ni muRC ila dunia imebadilika sana ndugu yangu

Things are not the same like they used to be.
 
Roman catholic ina agenda za siri ambazo waliomo wa chini (waumini) wahaelewi. Hivi karibuni uchumi wa dunia utaenda kuyumba na Amri kutoka Vatican kupitia kwa marekani watatangaza iwepo siku moja ya kuabudu na siku zingine kazi lazima. Na mataifa yote yatalazimika kukubali kila kitu, ndo maana sahv pope anakutana sana na viongozi wa kidini ili kufanya mapatano. Na kati ya makundi magumu kukubali ni Wa Islam na Waadventista Wasabato.

That's y mataifa ya kiislamu yanapigwa sana ili wakishadhoofishwa na wao kukubali muungano bas Mateso yataanza kwa wacha Mungu.

Ukweli lazima usemwe, ila watakaokubali wachache. Roman has a great influence on world politics, economy, social and other aspects.
 
Umeonywa ktk Mathayo 23:9, msimwite mtu yeyote baba duniani.
Kama hao mapapa ni baba watakatifu, wanawezaje kupingana na Mungu eti anabadilisha Amri kumi za Mungu,, Can't u think great?
 
Roman na Marekani ni different sides of the same coin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…