Natamani kujua ushawishi wa kanisa katoliki katika utawala na usalama wa dunia

Naomba nijuzwe upapa wa Petro tafadhali.
 
Umeelewa juu juu, one day utajua.
 
Talaka ruksa toka lini?
 
Tatizo huu uzi watu wanataka hisia zitawale zaidi kuliko uhalisia. Ukitaka kujua ukweli, weka hisia za kidini pembeni.
 
Katika uongozi wa kanisa hakuna kiongozi wa kanisa katika nchi, kila jimbo ni huru kikanisa na askofu wake hawajibiki kwa yeyote isipokua kwa papa.
Na kama kuna suala la kanisa kinchi rais wa baraza la maaskofu ndio atakayeongoza maaskofu wenzie kufanya maamuzi na kueleza msimamo wa kanisa kinchi sio kadinali.
Kadinali ni mshauri wa papa sio kiongozi wa kanisa kwenye nchi husika na mtu yeyote aliyefikia daraja ya ushemasi anaweza kuteuliwa kuwa kardinali sio lazima awe askofu.
Na jambo jingine nchi moja inaweza kuwa na makardinali zaidi ya mmoja na nchi inaweza pia isiwe na kardinali mfano Italy INA makardinali wengi huwezi sema wote ni viongozi wa nchi wa kanisa hapana.
Na nunsio(balozi wa papa) kwenye nchi husika ndio anamwakilisha papa kwa nchi husika na sio kardinali
 
Catholics kila kona wana ushawishi....Marekani waliwachukia sana wakatoliki sababu Papa alisupport Confederates wakati wa civil war....in the end they had a common enemy...cold war....they had to work together
 
Umeonywa ktk Mathayo 23:9, msimwite mtu yeyote baba duniani.
Kama hao mapapa ni baba watakatifu, wanawezaje kupingana na Mungu eti anabadilisha Amri kumi za Mungu,, Can't u think great?
Imani yangu inaniruhusu kumuita hivyo na wewe imani yako haikuruhusu kumuita hivyo: so, kila mtu abaki na imani yake huwezi kunibadilisha asilani
 
Hatupendi kujibu wala kubishana!
Ni bora tufundishane.

Tutajibu kutokana na kiwango cha hoja yako.

Mtu yeyote akizungumzia suala la Israeli "Huitwa Anti-Semites." Yaani chuki dhidi ya Wasemaiti.

Hili sio suala la Imani wala dini. Hili ni Suala la "Haki za Kinaadamu".
Na mpaka sasa kitu ambacho kinatishia Taifa la Israeli ni wananchi wake wenyewe ambao wameshaanza kujua ukweli na wanalipinga Taifa hilo kwa sera zao za UbaguZi. Sauti hizi zinazosema Ukweli ndizo sasa zinatakiwa.

Suala la Intelijensia. China na Urusi ndio wanajua sana ukweli na hatari ya Israel hapa Afrika. Historia itazungumza. Tunatumaini Maofisa wetu wako macho kwa hilo.

Waisraeli hawana Teknolojia yeyote, wao pia hununua au kuchukua Udau. Ni nchi inayegemea misaada kutoka Marekani.

Wakati tuliposimama tukiwapinga Makaburu na sera zao za Ubaguzi, hatukuangalia dini zao.

Harakati ni hizi hizi.

Umoja wa nchi za Afrika zimezumgumzia Ubaguzi huu. Umoja wa Mataifa. Wanaharakati wote duniani pamoja na Amnesty International pia wanalizungumzia suala hili.

Sidhani kama Watanzania wanajua ni nini kinachoendelea huko Palestina. Tunaomba muende mukaone na macho yenu. Yeyote yule anakwenda huko, na kuonda udhalimu wa hali ya juu, huwa wanabadilisha fikra zao juu ya Israel.

Israel imekuwa chanzo cha matatizo yote, kutokuwa na amani Mashariki ya Kati.

Mgomo baridi ndio njia pekee ya Amani itayoweza kuifanya Israel iheshimu sheria za Kimataifa na kutokomeza Ubaguzi na kuwapa waPalestina haki zao.

Kuhusiana na Obama, sasa ndio ndugu yetu ataanza kufanya kazi yake sawa sawa, na tunategemea atafuata nyayo za akina Mwl Nyerere, Mandela na Jimmy Carter kwenye suala la kutafuta haki za wanyonge huko Palestina.


 
Hata jeshi letu lina majenerali wachache sana, vyeo havitolewi kama njugu.
 
Naomba nijuzwe upapa wa Petro tafadhali.
Petro ndio mwamba na juu ya mwamba ule ndipo kanisa linapojengwa.

Petro Mwamba ndio kielelezo cha Ukatoliki duniani kote, Pope/Papa/ Baba mtakatifu call him whatever u may call yeye ndio alama ya wakatoliki, na cheo cha Papa tafsiri yake kwa wakatoliki ni mrithi wa nafasi ya Petro Mwamba ambaye alinyongwa na ndio maana kila Papa anayeingia kurithi hiyo nafasi ana uhuru wa kuchaguwa jina na upope wake.

Ukitaka kufanya ubishani kama wale waislamu walioishia darasa la nne jukwaa hili halitokuwa na manufaa kwako.

Labda jiulize tu kiongozi mkuu wa mabohora anajurikana, Aghakhan wa Ismailia tunamjuwa je kiongozi mkuu wa sunni ni nani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaa hiz dini nyingine ni hatari hv petro alishawahi kua pope kumbee
 
Mnafiki uliyejivua ufahamu
 
Mtu yuko nyuma ya keyboard anatype hivi 'Kuna mipango ya siri kubwa ambazo zimefichwa kiutaalam... afu anakudadavulia hizo siri. And you'll be like WTF!!!

Kuna mzungu alipata kusema 'Thinking is hard..That is why people judge..
 
Vatican na united states n ki2 kimoja wale,walishirikiana kuididimiza russia 1980
 
Ule moshi ni ubani unaochomwa makanisan kila kukitoa Na ibada. Kadinaly ni cheo Kikubwa sana kwenye kanisa.
 
Mkuu umenena uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…