Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Oooh nimekuelewa sana sasa hapo ni hivi mm nakunywa pombe davet sio mnywaji kihivyo yaani ila huwa anaonja
Ohooooo sawa mambo sihayo sasa kwaiyo hapo ni ndege wafananao ivo mnaruka pamoja.

Maana daaah mie nawivu kwa mwanamke wangu nahuwa nataka kujua her Schedule throughout the day, sometimes naogopa hii " baby leo natoka na Friendz naenda kupata bia kidogo"..hapo nibora muwe watumiaji wote,ili mwende pamoja eti eeehh?.

Aya hongera Chapombe Shunie wa Davet muonjaji....yan testing tuuu !!!


Sasa hakikisha unamvuta vuta jamaa japo mlingane ktk unywaji ... Maana naamin km ni muonjaji tu, kuna siku atakuambia Uache unywaji na uwe muonjaji, ... Sijui utakua willing kuitikia wito wake?? .

Shunie na Davet

mahondaw na Smart911


Mambo ni[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nachooogopa miye hicho!maana napenda mziki mbayaa Mara paaap wameweka nibebe ya Aslay ntabebwa miye ujue[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]duuuhh!hapanaaa
 
Ndo nachooogopa miye hicho!maana napenda mziki mbayaa Mara paaap wameweka nibebe ya Aslay ntabebwa miye ujue[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi sasa nyimbo za naija zile uwii utasema nalipwa.
 
Namvuta sana na anakuja vizuri sana [emoji16][emoji16][emoji16] Putin kumbe hunywi pombe kwahiyo kama haunywi mbebez wako kama anakunywa humruhusu kunywa
 

πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ jamani jamani pombe hizi anajua hizo akili mbilimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…