Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ohooooo sawa mambo sihayo sasa kwaiyo hapo ni ndege wafananao ivo mnaruka pamoja.Oooh nimekuelewa sana sasa hapo ni hivi mm nakunywa pombe davet sio mnywaji kihivyo yaani ila huwa anaonja
Maana daaah mie nawivu kwa mwanamke wangu nahuwa nataka kujua her Schedule throughout the day, sometimes naogopa hii " baby leo natoka na Friendz naenda kupata bia kidogo"..hapo nibora muwe watumiaji wote,ili mwende pamoja eti eeehh?.
Aya hongera Chapombe Shunie wa Davet muonjaji....yan testing tuuu !!!
Sasa hakikisha unamvuta vuta jamaa japo mlingane ktk unywaji ... Maana naamin km ni muonjaji tu, kuna siku atakuambia Uache unywaji na uwe muonjaji, ... Sijui utakua willing kuitikia wito wake?? .
Shunie na Davet
mahondaw na Smart911
Mambo ni[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]