[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]acha usaniii
Just for fun mkuu!...Jaribu siku moja utaenjoy sana, anza na viywaji laini like wine hivi😀😀😀[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]walevi utawajua tuu
Just for fun mkuu!...Jaribu siku moja utaenjoy sana, anza na viywaji laini like wine hivi😀😀😀
Hahahah najua yeye kuiacha mara moja ningumu hasa km ameshakua addicted , lkn kila siku nitajitahidi sana kuhakikisha anapunguza mpaka kufikia kutokunywa kabisa nahapo sitomruhusu tena anywe.Namvuta sana na anakuja vizuri sana [emoji16][emoji16][emoji16] Putin kumbe hunywi pombe kwahiyo kama haunywi mbebez wako kama anakunywa humruhusu kunywa
Sio kazi...ndomaana nkasema ndege wanaofanaa huruka pamoja.Kaahh!kazi ipo
Mm apa
Sio kazi...ndomaana nkasema ndege wanaofanaa huruka pamoja.
Mfano ,mimi nikiwa na asotumia pombe wenzangu aahhhh mambo nimotooooo yaan nimotoooooooooo
Aahh sawa sawa !! Hongeren wanaokunywa pombe kwa kua namambo ya kiume ume!!.Wanaume wasiokunywa pombe wanakuwaga na mambo ya kike kike.
[HASHTAG]#nothingpersonal[/HASHTAG]
Aahh sawa sawa !! Hongeren wanaokunywa pombe kwa kua namambo ya kiume ume!!.
Hapo vipi?.
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]the don Mimi ntakunywa am telling u!wanionaje kwani!!Huyo kaandika thread tu, hawezi kunywa pombe kabisa.
Bora abaki hivyo hivyo atasumbua.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]aisee!wasiokunywa pombe wanaume Mara nyingi wanakua vitombi balaaa!!!That was my view, muda mwingi utajikuta ni umbea na duu, mmegombea remote, mwisho wa siku unajikuta unafatilia vipindi vya Telemundo.
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]don weyeee
Nikweli , Mimi kila napopata wasaa wa kupumzika na mwanamke wangu mara nyingi lazima tufanye sex.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]aisee!wasiokunywa pombe wanaume Mara nyingi wanakua vitombi balaaa!!!
Nikiskia mtu halewi najua ni player huyo 75% hachomoki!
[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]wanakuwaga wana gubu pia...!!anakusemanga mpk baasi!Wewe ukitaka kuhakiki angalia alivyoanza kuzungumzia Shunie anakunywa, nani wake hanywi, wanawezaje so and so.
[HASHTAG]#nothingpersonal[/HASHTAG], just my opinion.