Maswali yake yanalewesha yaaniEeeh raha ya ngoma aingie acheze
Kitoke wapi sasa kwani ni gongo [emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kizunguzungu je?
Mimi simjibu tena [emoji6][emoji6]Maswali yako yananichosha watakujibu wengine
Chizi wewe [emoji23][emoji23]Mashetani nampigia mbebez [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimsumbue tu
Aiseeeee wala pombe zangu sio za kusikia nyege me huwa nakuwa msumbufu tuNyege zishashuka chini mda huooi
[emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]
Mimi simjibu tena [emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipo siku tuAnaongea balaas[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]utafurahi shooo
sina hamu ya kunywa nitapiga nne nasepa zangu kulala ila nikijua natoboa mpaka asubuhi duuuh ndio balaa litaanzia hapo....[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]we waonja weye
Sawa sawa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji3]bado mweupe tuu wewee
Na stress hizi ntashinda baa walahi tenaunaanza na nusu chupa mdogomdogo mpaka chupa nzima mwishowe chupa na nusu baada ya wiki 2 unajikuta unapiga mpaka chupa mbili mwenyewe ukifika mwezi unaweza bugia nne mpaka tano kwa siku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sina hamu ya kunywa nitapiga nne nasepa zangu kulala ila nikijua natoboa mpaka asubuhi duuuh ndio balaa litaanzia hapo....
kuna siku mie na kaka yangu tulizima mazima pale coco bichi kuja kushtuka mornie simu zetu za tochi wamelamba
Davet naye mnywaji eehh?? Aya usinywe bila yeye kuwepo.Aiseeeee wala pombe zangu sio za kusikia nyege me huwa nakuwa msumbufu tu
Chizi wewe [emoji23][emoji23]
Nataka siku moja tuzungushe round mnanivuta nyie viumbe mjue [emoji23]
Hakuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamani swetli ngoja tusome practical baadae
[emoji23][emoji23][emoji23]Woooooooooozeeeeeeeerrrrrr. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]