Natamani kujua utamu wa pombe!!!

Doh doh huyo kiboko kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe mwisho ngapi?
Kiboko kabisa. Marafiki zetu wanatutaniaga tutoke tukanywe ila kununua bia mwisho 10 baada ya hapo kila mtu ajinunulie maana wengine wana matank tumboni.
Mi inategemea na hiyo siku kichwa kikoje. Kuna siku bia sita nalewa siku zingine hata 12 silewi [emoji23][emoji23][emoji23]. Hasa nikianza mchana ndo silewagi
 
Kama shida ni radha tu kuna vinywaji vina radha ya beer, kuna wine ni non alcoholic taste sawa tu na alcoholic, pia kuna ambazo zina ladha ya beer ila ni non alcoholic.
Ila kama unachotaka ni taste ya kuyumba huko unapotea, nimekunywa pombe to nikiwa mdogo sijawah ona faida ila huwa nakunywa nikijisikia so sio mlevi ni part tu ya starehe ambayo niko mbioni kuiacha nimeshaanza taratibu so siwezi kukushauri uingie sehemu ambayo itakumaliza hela maana baada ya pombe lazima ifuate mziki au uasherati
 
Umeelewa vipii hapo kwa mfano soma vizuri halafu ndio uulize habari za davet Kama ni mnywaji au nisinywe bila yeye
Tchao[emoji108] ... Shunie wa Davet huyooo hahaha.

Unajua ndege wanaofanana ndio huruka pamoja , nmesoma na kuelewa ulichoandika 100% kwasababu na Akili. Binafsi mimi sinywi pombe na siwez kua na mwanamke mnywa pombe.

Naswali langu nihilo, Najamaa wako anakunywa pombe?.au hanywi?? . Kwa wapenzi watumia pombe, Huwa nilazima wanywe pamoja, au kila mtu na lake??.

Basi tu, nikujua ya upande wapili.... Sawa Shunie wa Davet !![emoji6]
 
Ukifanikiwa kuepuka "Kilevi" chochote mshukuru Mungu.Endelea kunywa maji mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…