Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kiboko kabisa. Marafiki zetu wanatutaniaga tutoke tukanywe ila kununua bia mwisho 10 baada ya hapo kila mtu ajinunulie maana wengine wana matank tumboni.Doh doh huyo kiboko kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mwisho ngapi?
Mi inategemea na hiyo siku kichwa kikoje. Kuna siku bia sita nalewa siku zingine hata 12 silewi [emoji23][emoji23][emoji23]. Hasa nikianza mchana ndo silewagi