Ingawa kidogo heading imenistua, nikadhani unatamani kumkula paka, kumbe ni kula nyama ya paka..[emoji23][emoji23]
Anyway, kama mila na desturi yenu inaruhusu sawa, lakini kama mila na desturi yenu hairuhusu basi wewe hauna tofauti na mchawi
Kuepusha kupoteza muda na viungo wewe nenda sehemu wanazouza mishkaki ya shilingi 50 nunua ya 500 lengo lako utakua umelikamilisha bila hata kuingia jikoni.