Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umedhulumu haki yake ya kuishi sababu si katika wanyama wanaoliwa.Ndio unijibu kisheria ikoje? Kula paka navunja sheria gani?
Nyama yake ni tamu sana halafu ina mafuta mafuta hasa ukila ya paka jike ni tam balaa
Kama unaweza kula "kuku wako" vipi ushindwe kula "paka wako"???--- kula tu, Wamakonde wanao msemo usemao: " Choechoe chinumbile mnungu chakumemena", yaani chochote alichoumba Mungu kinaliwa.[emoji1787][emoji1787]
Paka Ni viumbe wapole wazuri ila ukimtibua utajuta.
Kutokana na kuishi na watu wa Jamii mbalimbali duniani Kuna vyakula natamani kuvila ila naona sitaonekana wa kawaida.
Moja ya kitu ninachotaka kukila ni paka wangu ila dhamiri inanisuta.
Najiuliza atakuwa na utamu Kama wa sungura au?
Kumala kwa kumchemsha sitaweza nahisi nyama yakeinateleza sana vipi nikimkaanga?
Na haki za wanyama je sitaonekana mkatili?
Sheriainanikataza Mimi kula paka ?
Msaada plz.
Kuepusha kupoteza muda na viungo wewe nenda sehemu wanazouza mishkaki ya shilingi 50 nunua ya 500 lengo lako utakua umelikamilisha bila hata kuingia jikoni.
dude you need helpPaka Ni viumbe wapole wazuri ila ukimtibua utajuta.
Kutokana na kuishi na watu wa Jamii mbalimbali duniani Kuna vyakula natamani kuvila ila naona sitaonekana wa kawaida.
Moja ya kitu ninachotaka kukila ni paka wangu ila dhamiri inanisuta.
Najiuliza atakuwa na utamu Kama wa sungura au?
Kumala kwa kumchemsha sitaweza nahisi nyama yakeinateleza sana vipi nikimkaanga?
Na haki za wanyama je sitaonekana mkatili?
Sheriainanikataza Mimi kula paka ?
Msaada plz.
Nilivoona heading niliwaza kua baharia amehitimu level ya "ultra legeng baharia" sasa anataka amle tunda paka
Paka nyama yake tamu sana , niliwai kumla kwenye sherehe ya diwani wa ccm tulikuja gundua Asubui
Paka Ni viumbe wapole wazuri ila ukimtibua utajuta.
Kutokana na kuishi na watu wa Jamii mbalimbali duniani Kuna vyakula natamani kuvila ila naona sitaonekana wa kawaida.
Moja ya kitu ninachotaka kukila ni paka wangu ila dhamiri inanisuta.
Najiuliza atakuwa na utamu Kama wa sungura au?
Kumala kwa kumchemsha sitaweza nahisi nyama yakeinateleza sana vipi nikimkaanga?
Na haki za wanyama je sitaonekana mkatili?
Sheriainanikataza Mimi kula paka ?
Msaada plz.
Be serious mkuu ile mishkak ni paka wale?
Nitakushtaki kwa haki za wanyama na sheria itafata mkondo kwake,
Kweli binaadam ni kiumbe muharibifu sana, really?