Natamani kumla paka wangu nione ladha yake

Natamani kumla paka wangu nione ladha yake

Do not cause suffering to other living things just for the sake of pleasure.......Ukishajua utamu wa nyama ya paka itakusaidia nin?
 
Kula baba kula tu,usisahau na kachumbari ya kabichi itanoga sana...
 
Nahisi wengi tumesha kula paka bila kujua.
Hii mishikaki tunakula na chips wanatoa wap? Mbona mitamu?

Juzi nimekauliza haka ka kijana kanachoma mishikaki, nikataka kujua kichwa cha hizo nyama viko wap? Kakanambia vichwa vinakuwepo asubuhi.

Pale mishikaki ni 200 napitia twa buku, hivi tule tunyama tutamu ni twa ng'ombe? Aiseee sili tena, nahama njia sipiti pale tena.manina zao.
 
Muda mwingne unaweza usiamini ukiambiwa umeshawahi kula nyama ya nyau.

Unavokuwa safarini au unapata supu tamu uko vibandani/magengeni unajuaje uyo sio nyau.
 
Kuna mwenzio humu alisema akiona mbuzi anakula nyasi,basi ye anazionea huruma nyasi anaanza kumfukuza mbuzi.
 
IMG_20200825_160830.jpg
 
Nahisi wengi tumesha kula paka bila kujua.
Hii mishikaki tunakula na chips wanatoa wap? Mbona mitamu?

Juzi nimekauliza haka ka kijana kanachoma mishikaki, nikataka kujua kichwa cha hizo nyama viko wap? Kakanambia vichwa vinakuwepo asubuhi.

Pale mishikaki ni 200 napitia twa buku, hivi tule tunyama tutamu ni twa ng'ombe? Aiseee sili tena, nahama njia sipiti pale tena.manina zao.

Wewe endelea kuenjoy mishkaki si mitamu shida iko wapi😀
 
Back
Top Bottom