Natamani kumla paka wangu nione ladha yake

Nakusihi sana ndugu kajisalimishe Mirembe, kabla hujafikia hatua ya kumendea mishkaki ya Iddi Amin.
 
Kumla denda au kiboga?
 
Kaka Hilo ni tatizo la kisaikolojia
 

Kabla ya kufanya hivyo nenda hospitali ukafanye check-up ya afya yako ya akili au waulize wachina kwanza.
 
Aisee....hii sasa ndiyo election fever!😀

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Una roho ya kichawi.
 
Hv unaonaje km ukimkaanga afu ukamtengenezea na pilipili ya mbilimbi,maembe na ndimu mzee + na kiugali flan hv wa moto mteke mteke.. [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Nenda mwenge kula mishikaki ile Inachomwa njiani jioni nunua ila muache paka wako ale panya.
 
we jamas unataka kumla kivipi mana nahisi ni code unatumia
 
Kuitoa ccm madarakani inazidi kuwa ngumu kila uchao
 

We ni mchawi!
 
Subiri akishameza panya ndio uchinje ili ule paka na panya
 
Ukiacha na hiyo Kuna watu wanasema nyama ya binadam huwa ni tamu sana ndo maana Simba alieonja nyama ya binadamu huwa ni lazma awinde tena binadam anaona wale swala,nyumbu ni chakula kibovu..
Waswahili pia wakasema ukila nyama ya binadamu huwez kuacha, hiyo pia ni kwel lait binadam ukionja nyama ya binadam mwenzako ni lazma utakuwa unawawinda binadam ili uwale, na wote tukionja tutakua tunawindana
Hivyo hivyo Nyama ya paka ukila sidhan kama uataacha
 
Kula baba, tena paka ni steki tupu unakula unajilamba. Njoo magomeni kwa mama nsomola kuna hadi paka choma/Mishkaki ya paka kila weekend.
 
Wanachadema mawazo yao ndio Kama haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…