Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 426
Ila heading yako imekaa kiutata sanaNdio unijibu kisheria ikoje? Kula paka navunja sheria gani?
Nahisi wengi tumesha kula paka bila kujua.
Hii mishikaki tunakula na chips wanatoa wap? Mbona mitamu?
Juzi nimekauliza haka ka kijana kanachoma mishikaki, nikataka kujua kichwa cha hizo nyama viko wap? Kakanambia vichwa vinakuwepo asubuhi.
Pale mishikaki ni 200 napitia twa buku, hivi tule tunyama tutamu ni twa ng'ombe? Aiseee sili tena, nahama njia sipiti pale tena.manina zao.