Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
- #341
Niende wapiMarry Diana ukitaka mume nenda safsri za usiku unapata
Niende wapiMarry Diana ukitaka mume nenda safsri za usiku unapata
Anazijua mingle zote kontawa huyo 😹😹😂😂ila kamshauri vizuri sana,,,makofi kwakeeee
Waaaah waaaah waaaah
Kuna Foleni, safari bado, abiria wanakuja, wee subiri uone.sema nahisi tunakaribia kufika,,sgr imepunguza speed tayar [emoji23][emoji23]
🙌🙌🙌DA mau ushakuja tayarii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukute alisoma kile kitabu cha Think Big😂😂 anaongea uhuuuuu af ana matarajio makubwa makubwa
Ulipo kwenda dar mimi nakuapia haya magari yakishua utapata humu wananuski tu hawana seraNiende wapi
Mh yule kiboka bwashee ila hana bayaUkute alisoma kile kitabu cha Think Big
Weeeh!! 😍Mi nataka nikuoe wewe chaukorofi 😆😆
Jamaniiiii mbna ni Daktariii, sasa analelewajeee?Yee mwenyewe analelewa na washua,ataweza nilea mm
ila namim sina bwana,,wacha nijishindie wazo ilo😂😂Anazijua mingle zote kontawa huyo 😹😹
wanapunguza utamu sasaaaa😂Kuna Foleni, safari bado, abiria wanakuja, wee subiri uone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio uongoo afanye hivyoo😂😂ila kamshauri vizuri sana,,,makofi kwakeeee
Waaaah waaaah waaaah
Yaani ni ajabu😁😁dadekii Nchi hii kumtoa mkoloni mweusi madarakani labla tuzaliwe upya.Uzi unakimbia sana mnajadili nini humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DA mau acha uongo, mbna humu kuna watu wana ma range na may jeep, labda wee ndo huna bahati ya kuwapataa.Ulipo kwenda dar mimi nakuapia haya magari yakishua utapata humu wananuski tu hawana sera
Muache watu tuna virusi vipya vya ukimwi hatuja visambaza badooAtaishia kupigwa pumbu na kutelekezwa lodge
Ukazurure kwenye mabasi 😹😹ila namim sina bwana,,wacha nijishindie wazo ilo😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amekuja DA mau, utalanduka huu uzi, sasa hivi.wanapunguza utamu sasaaaa[emoji23]
Wazee wanaleta kishika uchumba next week ila usije ukanitenda baby 😆😆Weeeh!! 😍
Mahari lete kuku tupike supu tunywe babe..!! 😹😹
naamini atakuja na ushuhuda wa shukuraniSio uongoo afanye hivyoo