Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Vitaenda kushindana uko uko kwenye mwiliNgoja ajichanganye ila unaweza kukuta vyake ndo vikali zaidi
Vitaenda kushindana uko uko kwenye mwiliNgoja ajichanganye ila unaweza kukuta vyake ndo vikali zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anatoa siri za watu sana
Tangu lini Marry akawa brazaBraza Marry.
Here we go Kama Fabrizo.
Ana imani ya kuwa mwanaume ndio amfanyie kila kitu mbaya zaidi anataka mwanaume akimpata leo kesho akatoe barua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atampata, muda ukifika. LolAna imani ya kuwa mwanaume ndio amfanyie kila kitu mbaya zaidi anataka mwanaume akimpata leo kesho akatoe barua
Tell your mama, I go take to my citySiwezi babe 🤭
Hapo vitazaliwa vile kusini mwa afrika uwa ni hatari sanaVitaenda kushindana uko uko kwenye mwili
😹😹😹Si awe konda kabisa
Jichanganye maana uwa kuna mabaharia uwa yanawinda watoto wazuri wa kumalizia safariHahaha nitagugumia ndani kwa ndani
Shida mwanaume wa sasa ukimjia na gia hiyo ana kukimbia muache mwanaume aseme yeye nataka nikuoe lakino sio wewe kila ukimpigia mwanaume simu unakuja lini nyumbani anakuomba utamu unasema peleka barua kwanza nan atakaa hapo? Sasa ufanye hivyo uwe pisi kama paula ila kafupi kama nguchiro duh utachelewaAtampata, muda ukifika. Lol
😹😹😹 Sa itakuwaje?shida hata nauli sina😂😂😂
Apambane navyoHapo vitazaliwa vile kusini mwa afrika uwa ni hatari sana
😹😹😹 Muhimu we ndo bi mkubwa..!!Sasa udugu hivi mie nna wake wenza wangapiiii? Mbna idadi ni ndefu hivii? Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atasubiri sana mpka 2088Atampata, muda ukifika. Lol
Eeeh yaani siku io io nkishuka kwa bus nkalale nae,,si bangi ioJichanganye maana uwa kuna mabaharia uwa yanawinda watoto wazuri wa kumalizia safari
Kumbe? 😹😹😹Ana mpenda mpaka kesho mjep kakimbia chombo
sheria nkae siti ya pembeni na mr handsome,,sasa hilo lori dereva atakua handsome kweli 😂😂😂😂😹😹😹 Sa itakuwaje?
Basi upande lori
Utapewa care ya kiwango cha juu na utasema yule uliekua unamsubiri ndo uyo sasa 😆😆Eeeh yaani siku io io nkishuka kwa bus nkalale nae,,si bangi io
Kafupi alafu kabishi hatari na kiburi juuShida mwanaume wa sasa ukimjia na gia hiyo ana kukimbia muache mwanaume aseme yeye nataka nikuoe lakino sio wewe kila ukimpigia mwanaume simu unakuja lini nyumbani anakuomba utamu unasema peleka barua kwanza nan atakaa hapo? Sasa ufanye hivyo uwe pisi kama paula ila kafupi kama nguchiro duh utachelewa