Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Shida kabila kaka mimi ubishi ndio ulinishinda nikasepaKafupi alafu kabishi hatari na kiburi juu
Shida kabila kaka mimi ubishi ndio ulinishinda nikasepaKafupi alafu kabishi hatari na kiburi juu
Wee joto lije ntakupepeaTell your mama, I go take to my city
We gona fly,we gon ride pikipiki
We ndo roho,we ndo zaidi ya rafiki😍
Waoooh😍❤️Wee joto lije ntakupepea
Ntakulinda na ntakutetea
Wanune wavimbe, i dont care 😘
I'd zangu zote zina jiheshimu na ni kwa ajili ya mademu classic sio huyo wa buzaThubutuu..!! 😹😹
Wewe najua utazama piem na id nyingine kwa Marry..!!
Tunachangamsha kijiwe 😹😹Waoooh😍❤️
AsanteTunachangamsha kijiwe 😹😹
Being in love with you is the best feeling 💓Wee joto lije ntakupepea
Ntakulinda na ntakutetea
Wanune wavimbe, i dont care 😘
Akae kwa kutulia aache wengeTunachangamsha kijiwe 😹😹
Utajua hapo hapo muhimu uanze safari..!! 😹😹sheria nkae siti ya pembeni na mr handsome,,sasa hilo lori dereva atakua handsome kweli 😂😂😂😂
Mwenzako nishapenda alafu unasema unachangamsha kijiwe 😆😆😆😆Tunachangamsha kijiwe 😹😹
Mimi nimenyooka sipendi mtu anayejiona Bora na kujipa umuhimu,Buza wanaishi watu wenye vipato kukuzidiI'd zangu zote zina jiheshimu na ni kwa ajili ya mademu classic sio huyo wa buza
Uwe na nidhamu na adabuAsante
Love is the beautiful thingWaoooh😍❤️
😹😹😹 Marry kasema umeweka bookingI'd zangu zote zina jiheshimu na ni kwa ajili ya mademu classic sio huyo wa buza
Tulizana haupo kati ya hawo watuu weweMimi nimenyooka sipendi mtu anayejiona Bora na kujipa umuhimu,Buza wanaishi watu wenye vipato kukuzidi
Rafiki ina maana mpka leo hujampata wa kukupenda kwa moyo wote na mainiMimi nimenyooka sipendi mtu anayejiona Bora na kujipa umuhimu,Buza wanaishi watu wenye vipato kukuzidi
Kabisaaa, bahati mbaya hiyo love ikigeuka utatamani ujificheLove is the beautiful thing
Sawa,naishi Kwa wazazi sina kitu ila naamini Mungu atanioneshaTulizana haupo kati ya hawo watuu wewe
😂😂😂😂Bora nipate wa humu humuUtajua hapo hapo muhimu uanze safari..!! 😹😹