To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,518
- 38,854
Never,.... usiandike tena hivi mkuu
Never,.... usiandike tena hivi mkuu
🙏🙏Never,.... usiandike tena hivi mkuu
Never,.... usiandike tena hivi mkuu
Na huyo ni wewe kwa profile?Anaitwa Tajiri sina baya.
Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.
Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu,
Kuna kauli alisema,oooh nimekataliwa hadi na marry?
Kwanza nikajiuliza kwani ananichukuliaje?
Tajiri karibu sana
Ni mmNa huyo ni wewe kwa profile?
wanaume matapeli wa mitandaoni rahisi sana kuwafahamuMbona una heka heka sana 😂
Symbol moja wapo?wanaume matapeli wa mitandaoni rahisi sana kuwafahamu
Ooh sawaNi mm