Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 4,910
- 12,926
๐๐Dadeq watu mnaogopaMods ni mashahidi wangu mimi sijasema chochote kile na wala sikuwepo humu ๐ ๐ comrade popote ulipo jua edo kissy ndo anahusika ๐๐
๐๐Dadeq watu mnaogopaMods ni mashahidi wangu mimi sijasema chochote kile na wala sikuwepo humu ๐ ๐ comrade popote ulipo jua edo kissy ndo anahusika ๐๐
Kunani tena jamni ๐๐๐๐๐๐๐ mwacheni marry my best friend
Mwacheni marry
Ndama Mzee wa Makwasukwasu.Mwacheni marry
We kijana kweli wa ovyooMwacheni marry
Siyo kwamba una muonekano wa kimalaya, una muonekano wa uswahilini wa umasikiniAnaitwa Tajiri sina baya.
Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.
Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu,
Kuna kauli alisema,oooh nimekataliwa hadi na marry?
Kwanza nikajiuliza kwani ananichukuliaje?
Tajiri karibu sana
Hana kazi za kufanya huyo, kila siku kuanzisha nyizi zisizo na maana.Aisee yaani hizi I'd za kike zina matatizo sasa mtu unaanzisha mada ya kitoto kama hii halafu unaanza ku quote na ku reply kila comment huoni hiyo ni tatizo?
Marry Diana
Marry nimesoma naeWe kijana kweli wa ovyoo
Wapi?Marry nimesoma nae
Eeh bana eeh kumbe ndo mana kina To yeye na kina Lamomy hawachezi mbali na na hii ID.Hii nakujibu kwa wivu mkubwa mimi nipo marekani ni daktari mwanafunzi now nipo jeshi kwa mafunzo na nalipwa pesa ndefu wewe kiazi unaniwaza ? Baba yangu anayo pesa mama pia akula pesa ndefu bongo bado urithi wa babu, acha ufala fuata mambo yako kiazi wewe
Acha hizo
Ataogopa kutekwa!Anaitwa Tajiri sina baya.
Mbali na wengi kuniita Malaya na kunitafsiri vibaya,sikuchukulia serious sana,niliona ni kawaida tu kwani hata mtaani watu huniambia nimekaa kimalaya yaani , wanaume wengi hujaribu bahati zao.mpaka pale mtu anapokata tamaa.
Ila nahitaji kuonana na tajiri huyu,
Kuna kauli alisema,oooh nimekataliwa hadi na marry?
Kwanza nikajiuliza kwani ananichukuliaje?
Tajiri karibu sana
๐๐๐๐๐น๐น๐น Weeeh kumbe!!
Mpe hata shavu aguse bhasi..!!
Umejuaje?Mi sina ID nyingi kama mjuba Lamomy ๐๐
Huyu falah nimemkanda karipoti comments mods wamefuta, vin muoga sana hajiamini anatamani battle ila kunikabili hawezi..!! ๐น๐นPumbavu comments zako ni zile zile nyangau wewe๐คฃ๐คฃ
๐น๐น๐น๐๐๐๐
Nimecheka sana.
Unawazaga nini๐
You are my fav girl in JF naomba niku adopt๐
Huyo nimemnyoosha Hadi kakimbilia kwa mods kuripoti ananijua vyedi ndiomana kaja na id nyingine..!! ๐น๐น๐นUmejuaje?
Hebu zitaje kwa faida ya memberz ๐
Juzi nilitia pombe za kutosha sjui ikawaje mpaka nikacharuana vile๐Huyu falah nimemkanda karipoti comments mods wamefuta, vin muoga sana hajiamini anatamani battle ila kunikabili hawezi..!! ๐น๐น
Yeye km anajiamini aje na id yake verified nimuonyeshe..!! Kuja na id ya majalalani kwenye uwanja wa vita huo ni uoga na kutojiamini..!!